NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,388
- 17,969
What is it twitter genius?This isn't flood you fool.
What is it twitter genius?This isn't flood you fool.
Mwanza mbona inakumbukwa saaana daraja la magufuli ,meli kuubwa,sgr n.kUnataka kunambia wanataka kujenga uwanja Dodoma halafu Mwanza wanaisahau kweli?? Hili kwa watu wa Kanda ya ziwa ambao ndio wengi kuliko Kanda yoyote ile hatulikubali kabisa
Ya kwenda Tegeta hiyo mkuu.Nimepita Maeneo ya Lugalo kuna Kampuni ya SDLQ imeweka mawe kwaajili ya ujenzi wa BRT. SIjajua kama hiyo ndio Phase ya kwenda Tegeta au ile ya Kwenda Kawe kuzunguka kuja Mwai Kibaki Road.
Mwenye taarifa kamili please
Watu wa huku hawaridhiki!Mwanza mbona inakumbukwa saaana daraja la magufuli ,meli kuubwa,sgr n.k
Noma sana.Hii kitu imenikumbusha mbali sana. UK kuna chuma la kizamani la First Great Western train la masafa,kuna vi-station vidogo halisimami basi mnapewa warning mkae mbali na platform. Ikipita hapo sekunde kadhaa inapotea kama hio SGR yetu.
Nyie kenge mna chuki na Samia Hadi mnatamani yamkute ya Mwendazake ila ndio hivyo tena.
Soma hiyoo👇👇
View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1783868373236842872?t=dFkiT8Z8kwB6vo6boDVOcQ&s=19
My Take: Hongera sana Wakundustan Kwa Kumsogeza Mwanamama kwenye vyeo vya Juu hapo Jeshini.
Vinatakiwa vyeo vya kiutendaji na maamuzi vya directly sio maigizo ya Kisiasa.Wewe akili yako hua ndogo Sana
Mbona Tanzania ina waziri wa ulinzi mwanamke hushangai 😅😅😅😅
Wacha shobo!Vinatakiwa vyeo vya kiutendaji na maamuzi vya directly sio maigizo ya Kisiasa.
Punguani waheeed
Wewe ndio una shobo Kwa kudandoa mada yangu.Wacha shobo!
Mbona hushangai waziri wa ulinzi ni mwanamke Tanzania 😅😅😅😅 Yani ww kuna vitu kichwani sawa kichwani mwakoHoja hapa sio kuwa mojor General naona hamuelewi.Hoja ni kuwa kamanda wa vikosi vya anga,Ardhi au navy kama huyo Mkunya.
Samia anataka afute hii dhana ya kuonesha kwamba vyeo Fulani ni vya wanaume kama ilivyotokea kwake binafsi watu wakiuliza how comes amiri Jeshi Mkuu awe Mwanamke?
Pili kuna kasumba ya CDF au IGP kuwa Mwanamke,ndio maana Samia amesema msije shangaa ikitokea one day even before 2030.
Kwa hiyo Wakunya hapa nawapongeza Kwa kumchagua Mwanamke kuwa kamanda wa vikosi vya anga.
Nani mkubwa Kati ya waziri wa ulinzi na kiongozi wa jeshi la anga?? 🤣🤣🤣🤣Vinatakiwa vyeo vya kiutendaji na maamuzi vya directly sio maigizo ya Kisiasa.
Punguani waheeed