ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Wow I see upperhill, CBD, Westland and kilimani combined ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Wow I see upperhill, CBD, Westland and kilimani combined ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Ona tu. Hakuna mwenye amekukataza๐๐Wow I see upperhill, CBD, Westland and kilimani combined ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Ona tu. Hakuna mwenye amekukataza๐๐
Me natoka Mwanza, born and raised, ila kuna namna watu wa Kanda hiyo tulianza kujiona ni special na maalumu sana nchi hii, mbegu mbaya sana ilipandwa hapo katikati kiasi kwamba ingemea kisawasawa tungejikuta kwenye political culture ya ajabu kabisa hatujawahi kushuhudia nchi hii, political culture kama ya ndugu zetu wengi wanaotuzunguka wakiwemo hawa tunaowatandika humu, ashukuliwe huyo aliyeiwahi na kuizima hiyo mbegu isimee kwa kukata mzizi wake mkuu, awe ni Mungu au Shetani ashukuliwe kwa kuliponya taifa japo bado kuna hangover kama hizo.Mwanza mbona inakumbukwa saaana daraja la magufuli ,meli kuubwa,sgr n.k
Hasira iko wapi hapo? Umesema unaona Kilimani, CBD, Upperhill na Westlands na nikakuambia uendelee tu kuona. Kama hiyo ni hasira basi unafaa kuangaliwa akili.๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Siku hzi umekua na hasira Sana kwann??
Kama Glasgow kumbe ni Dom Marshaling Yard, Kunyaland will never nashangaaga wanapata wapi guts za kudebate na hii project
View: https://vm.tiktok.com/ZMMG8dSgN/
Mwaka huu mtakula hayo maghorofa huku mnalowa na maji, ha ha ha๐๐Bunge Tower.
Parliament.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni waaminifu na genuine na Huwa hawatumii mabavu Bali akili.On top of that ni resilient mfano mzuri ni Samia.
Wanaume ni matapeli,wezi,mafisadi,makatili nk..
Dunia ingekuwa mahala salama sana pa kuishi kama sio malezi ya hovyo wanayolishwa wanaume tangu Wakiwa wadogo kuvimba kujitutumua na matokeo yake ni majanga ya vita kila mahala hapa Duniani.
Bila Samia Hali ingekuwa mbaya mara 2 ya Ile ya awali.
View: https://www.instagram.com/p/C6gpi-KIp0w/?igsh=MXJmYnk4Z2tidXR6cg==
What happened to Tukuyu stars of Mbeya?โฆ I remember hearing about them on FM radio as a kid โฆ I was curious coz my innocent kid ears was hearing Kikuyu stars โฆ ๐คฃ๐คฃ๐คฃโฆHivi Kenya kuna federation cup??๐ ๐
View attachment 2980119
Ona hii jamaa!!Gloria Aroyo,Jacinda Aden,Julia Gillard na Sasa Samia ,kiufupi ni wengi na endless list.
Kwanza kumbuka wanawake wamekuwa wakikandamizwa miaka na mikaka Kwa sababu za mfumo dume.
-Hayo mambo yalishaanza kufanyika yeye kaja kuendeleza.Case Study Samia
-Agri transformation inaendelea
-Health care transformation inaendelea
-Educatiin transformation inaendelea
-Water sector transformation inaendelea etcView attachment 2980032View attachment 2980033View attachment 2980034
Haya maelezo hapo Juu yamejikita zaidi kwenye Kilimo ila ukitaka maelezo ya sekta zingine nitakupa.
Tukuyu stars ilishuka daraja, sifahamu hata kama ipo tena.What happened to Tukuyu stars of Mbeya?โฆ I remember hearing about them on FM radio as a kid โฆ I was curious coz my innocent kid ears was hearing Kikuyu stars โฆ ๐คฃ๐คฃ๐คฃโฆ
Hupumziki?Niko club moja hapa leo wameita "Hidaya day" ๐๐๐