ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Angalia usije jinyonga mana upo katika hali mbaya sanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naongelea watu kwa hii thread maanake mimi, siongelei huko kwengine.
Kenya media zetu huwa proactive. Wao hureport even more than they need to. Ndio maana despite the fact that mafuriko yameuwa watu wengi huko kwenu kuliko huku, the general feeling ni kwamba huku ndio kuna mafuriko. Alafu sidhani kama huko kwenu yameisha, labda Dar hayapo ila the whole of Tanzania lazima yapo ni vile media zenu ni ovyo.
Sasa sisi nchi yetu hatuna majanga mzee, kama yapo ni kdg sn lkn hayafiki national level kama nyinyi huko kwenu, kwanini tusi enjoy? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi sijapata news zozote kwa media za bongo halafu kuna wenzako humu wanakana hamna mafuriko Bongo meaning media zenu hazireport kiukamilifu. Yani hapa Kenya jambo kama hili linakuwa ni National Issue, ukiwasha TV hivi hilo ndio jambo litakuwa likiongelewa hadi kila mtu anajua kinachoendelea, meanwhile hapo bongo wataguzia tu juu juu alafu warudi kwa Mondi na Zuchu ama Yanga na Simba.
Kisiasa ni Waziri ila kiuhalisia ni hao makamanda wa Jeshi kama huyu hapaNani mkubwa Kati ya waziri wa ulinzi na kiongozi wa jeshi la anga?? 🤣🤣🤣🤣
Ww kichwani mwako kunahitajika factory setting
Kisiasa ni Waziri ila kiuhalisia ni hao makamanda wa Jeshi kama huyu hapa
View: https://www.instagram.com/p/C6gcq8grYG8/?igsh=N2ZkNnNxMWFxbzNx
Wewe ubongo wako unatakiwa virus screening na kiwekwe external booster 🤣🤣
Kisiasa ni Waziri ila kiuhalisia ni hao makamanda wa Jeshi kama huyu hapa
View: https://www.instagram.com/p/C6gcq8grYG8/?igsh=N2ZkNnNxMWFxbzNx
Wewe ubongo wako unatakiwa virus screening na kiwekwe external booster 🤣🤣
Sikia Walker, haina ujiniasi hii. Hapo kuna bonde kubwa na ilitakiwa kujengwa daraja linalojengwa sasa na haikuwa sahihi kuruhusu ujenzi wa makazi mabondeni mto mkubwa sana unapopita. Nje ya mabondeni hakuna mafuriko.What is it twitter genius?
Hivi unajua maana ya floods?Sikia Walker, haina ujiniasi hii. Hapo kuna bonde kubwa na ilitakiwa kujengwa daraja linalojengwa sasa na haikuwa sahihi kuruhusu ujenzi wa makazi mabondeni mto mkubwa sana unapopita. Nje ya mabondeni hakuna mafuriko.
Ni waaminifu na genuine na Huwa hawatumii mabavu Bali akili.On top of that ni resilient mfano mzuri ni Samia.Hivi mbona unapenda viongozi wanawake sana?
Ni waaminifu na genuine na Huwa hawatumii mabavu Bali akili.On top of that ni resilient mfano mzuri ni Samia.
Wanaume ni matapeli,wezi,mafisadi,makatili nk..
Dunia ingekuwa mahala salama sana pa kuishi kama sio malezi ya hovyo wanayolishwa wanaume tangu Wakiwa wadogo kuvimba kujitutumua na matokeo yake ni majanga ya vita kila mahala hapa Duniani.
Bila Samia Hali ingekuwa mbaya mara 2 ya Ile ya awali.
View: https://www.instagram.com/p/C6gpi-KIp0w/?igsh=MXJmYnk4Z2tidXR6cg==
Kenya blackout huwa haikai sana. Ikienda sana ni 6 hours ndio maana ikitokea bara nzima linajua kuna blackout Kenya. Sasa hivi nitapata blackout ya pili labda after 2 months.
Unajua historia za Nchi hizo au unajiongelesha tuu?Mbona nchi kama Singapore, Korea, Qatar, Malaysia n.k zimetolewa kwa umaskini na viongozi wa kiume? Mbona sijaona kiongozi mwanamke akiitoa nchi kwenye umaskini?
Sasa mzee kwa umri huu unamuuliza mtu maana ya floods!!! Upo sawa kweli kichwani mwako?Hivi unajua maana ya floods?
Ni utani tuu usichukulie serious.Kenya blackout huwa haikai sana. Ikienda sana ni 6 hours ndio maana ikitokea bara nzima linajua kuna blackout Kenya. Sasa hivi nitapata blackout ya pili labda after 2 months.
Nitajie kiongozi wa kike mmoja aliyeitoa nchi kwenye umaskini hadi ikawa tajiri.Unajua historia za Nchi hizo au unajiongelesha tuu?
Pili kati ya Viongozi 100 wa kiume unaweza Kuta ni 2 tuu ndio waungwana wengine wote ni washenzi.
Viongozi wengi wangekuwa Wanawake,Dunia ingekuwa mahala salama pa kuishi.