Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa vile awamu hii haina kashfa 😅😅😅 report ya CAG Tu ukipewa unaogopa hata kuibeba ina madudu makubwa haijawah kutokea toka dunia hii iumbwe

Au unataka tutaje madudu na kashfa??? Watu wanaiba pesa mpaka inaogopesha hii ndio awamu ambayo imekopa over 20trillion within 3years we huogopi??😅😅😅😅😅 Na bado pesa zimeliwa na kuvurugwa Vibaya Sana,

Niliskitika kuskia ndege ya mizigo last payment watu walitengeza receipt kutoka 20m USD mpaka karibu 120m USD na tuko hapa tunachekeana mtoto wa mjomba na shangazi 😅😅😅😅😅😅

Air Tanzania ilikua na imeanza kupunguza hasara from 60b ikafika 35b 2022 SASA hvi Naskia hasara imekwenda tena juu imefika almost 57b

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1773307302767960332?t=xuMSA63JFq5PBP-oGjr-_Q&s=19

Kuna mengi usitake tuongee mzee awamu hii ndio watu wanaiba pesa hadharani na rushwa inachukuliwa bila uoga

Nimemaliza asante 😅😅😅

Usihamishe magoli,tunazungumzia uadilifu wa Kiongozi as individual sio Ufisadi wa Watumishi wengine.

Samia hana kashfa binafsi kama Mwendazake.

Ni lini ripoti ya CAG iliwahi kuwa nzuri? Assad alitimuliwa Kwa Ajili ya kufichua nini?

Mwisho kama unaujua Ufisadi na umakaa kimya wewe si ni sehemu ya wanufaika wa huo Ufisadi?
 
Ni waaminifu na genuine na Huwa hawatumii mabavu Bali akili.On top of that ni resilient mfano mzuri ni Samia.

Wanaume ni matapeli,wezi,mafisadi,makatili nk..

Dunia ingekuwa mahala salama sana pa kuishi kama sio malezi ya hovyo wanayolishwa wanaume tangu Wakiwa wadogo kuvimba kujitutumua na matokeo yake ni majanga ya vita kila mahala hapa Duniani.

Bila Samia Hali ingekuwa mbaya mara 2 ya Ile ya awali.

View: https://www.instagram.com/p/C6gpi-KIp0w/?igsh=MXJmYnk4Z2tidXR6cg==

Kuna kitu we fala unafeli, maamuzi yaliitwa mpaka ya kiume unayajua?

Mwanaume hatumii hisia wala kuangalia wengine wanasemaje. Hao wanawake unaowasifia mbona kuna maamuzi mengi ni jau.

Report ya CAG kachukua hatua gani?
Mbona haachi matokeo ndio ya jiongelee na si kila siku mabango nchi nzima?.

Huyo Mama yako angekuwa kipindi cha COVID angechukua uamzi gani?

Ikiwa Bandari tu ameshindwa kusimama kwa kuamini nchi inaweza hadi kumpa DP WORLD unadhani angeweza kuwakomalia BARRICK GOLD licha ya ile pressure?

Acha ujinga sana.
 
Usihamishe magoli,tunazungumzia uadilifu wa Kiongozi as individual sio Ufisadi wa Watumishi wengine.

Samia hana kashfa binafsi kama Mwendazake.

Ni lini ripoti ya CAG iliwahi kuwa nzuri? Assad alitimuliwa Kwa Ajili ya kufichua nini?

Mwisho kama unaujua Ufisadi na umakaa kimya wewe si ni sehemu ya wanufaika wa huo Ufisadi?
Hakuna uadilifu wowote unaonekana hvi ww unajua maana ya uadilifu?? 🤣🤣🤣🤣

Hebu nitajie maana ya uadilifu manake nisije kua napoteza muda hapa,
nchi inafikia hatua sukari ambayo ni bidhaa ya watu wote inafika 5000 kwa kilo na bado viongozi wako kimya alaf unazumgumzia uadilifu 🤣🤣
 
📌📌📌📌🔨 😁😁😁😁😁
 
Kuna kitu we fala unafeli, maamuzi yaliitwa mpaka ya kiume unayajua?

Mwanaume hatumii hisia wala kuangalia wengine wanasemaje. Hao wanawake unaowasifia mbona kuna maamuzi mengi ni jau.

Report ya CAG kachukua hatua gani?
Mbona haachi matokeo ndio ya jiongelee na si kila siku mabango nchi nzima?.

Huyo Mama yako angekuwa kipindi cha COVID angechukua uamzi gani?

Ikiwa Bandari tu ameshindwa kusimama kwa kuamini nchi inaweza hadi kumpa DP WORLD unadhani angeweza kuwakomalia BARRICK GOLD licha ya ile pressure?

Acha ujinga sana.
Kabla sijakuonesha hizo hatua alizochukua,ngoja nikuulize swali..Nitajie kigogo yeyote alifikishwa kwenye mahakama ya mafisadi.

Kitu hujui na unaropoka tuu,hatua ni nyingi sana muwe mnafuatilia mambo 👇
Screenshot_20240502-182405.jpg

Hakuna mahala nimesema viongozi ni malaika ila nimesema Viongozi wengi wa kiume uadilifu ni zero.Twende Kwa mifano kati ya Samia na Mwendazake nani alikuwa anafanya maamuzi Kwa mihemko na hisia?
 
Case Study Samia
-Agri transformation inaendelea
-Health care transformation inaendelea
-Educatiin transformation inaendelea
-Water sector transformation inaendelea etcView attachment 2980032View attachment 2980033View attachment 2980034

Haya maelezo hapo Juu yamejikita zaidi kwenye Kilimo ila ukitaka maelezo ya sekta zingine nitakupa.
Kila kitu kina initiator na background.

Ungekua unasifia Samia kwa kuendeleza tusingekuattack, ila hii tabia ya kumfanya yeye ndio kaweka ndio tunakataa, alafu alivyoanzisha ndivyo hivyo.

Unaibu waziri-cheo nonsense wakati waziri mkuu aliyepo hana shida.

Migao bila sababu.
Mfumuko mkubwa wa bei na Matozo, mafuta kila mwezi kuwa tatizo.

Mwendokasi kujifia, vivuko kujifia.
Kutoa vitu sensitive kwa nchi kama bandari nje, ukiangalia Bandar ilishakarabatiwa kwa trillion.

Huu uchawa wa kijinga.
Kwamba hadi manara, mwinjaku, babalevo ndio wapewe airtime ya kuongelea mambo ya muhimu kitaifa?
 
Usiseme hvo plz ChoiceVariable atachukia🤣🤣
Nichukie for what? Sipendi mtu Wala kumchukia Kwa sura yake Bali Kwa matendo na maamuzi yake na sio lazima tufanane.

Ila Mimi Kwa Viongozi wa Tanzania hii,Mkapa na Samia wamefanya vyema Hadi Sasa ingawa kama Samia atakuwa Rais Hadi 2030 hakuna wa kumsogelea Kwa chochote.
 
Kila kitu kina initiator na background.

Ungekua unasifia Samia kwa kuendeleza tusingekuattack, ila hii tabia ya kumfanya yeye ndio kaweka ndio tunakataa, alafu alivyoanzisha ndivyo hivyo.

Unaibu waziri-cheo nonsense wakati waziri mkuu aliyepo hana shida.

Migao bila sababu.
Mfumuko mkubwa wa bei na Matozo, mafuta kila mwezi kuwa tatizo.

Mwendokasi kujifia, vivuko kujifia.
Kutoa vitu sensitive kwa nchi kama bandari nje, ukiangalia Bandar ilishakarabatiwa kwa trillion.

Huu uchawa wa kijinga.
Kwamba hadi manara, mwinjaku, babalevo ndio wapewe airtime ya kuongelea mambo ya muhimu kitaifa?
Kama stori ni initiator basi sifa apewe Nyerere na sio Magufuli mnaetaka aonekane ndio initiator kana kwamba alikuta hakuna kinachoendelea.

View: https://www.instagram.com/p/C6ibZqDsGFC/?igsh=MXY5MjR1YzhjNWt2dQ==
 
Back
Top Bottom