Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa no problem.

Anyway mafuriko yakiwa Dar yanalipotiwa maana bila kuripotiwa tutakwepaje njia sumbufu.

Now ni siku kama nne toka mvua ikate tumerudi kule kwa Joto kali. Sometimes unatamani tena mvua. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala Dar.

Nenda Miradi ayo scroll downs utaona mafuriko, unazani hii serikali iliyojaa kusifu watazibia mafuriko ambayo yatawapa airtime ya kusifu.

Toka mvua ipige kuna maeneo yalikua hit sana.

Hanang Manyara, taarifa zipo humu hadi uokoji, misaada, na after mafuriko report ya ukarabati na ukabidhi wa kaya, ardhi kwa wananchi.

Next ni Rufiji, ni ya juzi tu na ilisingiziwa bwawa la nyerere na kelele nyingi.

Ila serikali ilifika na kutoa msaada.

Wanaofata Bonde la mto msimbazi watu wabishi walishwalipwa na kupewa viwanja lakini wakauza wakarudi bomoa bomoa ilishapitishwa ila siasa na kurudi inakua janga.

Anyway kupunguza majanga hayo mto ulijengewa kingo, kuanzia KIMARA-SINZA-TANDALE-MAGOMENI-JANGWANI.

Na huo mto umekua connected na mitaro mingi ya barabara kuondoa maji yaliyokua yanatuama.

Badala ya kama zamani maji kuwreck havock kwa makazi ya watu now yananyoosha mpaka baharini. Isipokua hapo Jangwani plan ya Daraja kubwa ipo ila wanajivuta may be kwa sababu mvua ikiisha mambo yanarudi kama zamani, na walihamisha UDART kwenda Ubungo.
Maelezo yako yanajitosheleza, tunashukuru sana jinsi unavyonyambulisha.
 
Tunazungumzia uhalisia Nani mkubwa Kati ya waziri wa ulinzi au kiongozi wa jeshi la anga nijibu kisomi kenge wewe😅😅😅😅

Punguza mihemuko isiokua na tija
Uhalisia ndio huo Sasa wa Kuongoza vikosi ,sio stori za makaratasi
 
Nairobae

1714765805101.jpeg
 
Baada ya Miaka 22?
Ndiyo hivyo, wakati mwingine mambo yakienda kombo inachukua muda kurudi kwenye reli. Hata Coastal union ilichukua muda kurudi ligi kuu baada ya kuporomoka daraja.

Watu wa Tanga watakumbuka Coastal union walikuwa na mahasimu wao wakuu (African sports). Pale Mkwakwani ilikuwa ni derby moja kubwa sana wakikutana. Wako wapi African Sports sasa?

Dar tulikuwa na Pan African ilikuwa tishio kwa Simba na Yanga, iko wapi sasa?
 
Unajua historia za Nchi hizo au unajiongelesha tuu?

Pili kati ya Viongozi 100 wa kiume unaweza Kuta ni 2 tuu ndio waungwana wengine wote ni washenzi.

Viongozi wengi wangekuwa Wanawake,Dunia ingekuwa mahala salama pa kuishi.
Mkuu kuna muda tumia akili kutafakari sio mihemko.
Toka lini mwanamke akaongoza kitu kikanyooka kikamilifu pasi na utata!?

Argentina ilikua na rais mwanamke kafuatilie Argentina iliingia crisis ya namna gani kama nchi kwa kumruhusu mwanamke aongoze.

Malawi Joyce Banda aliongoza japo kwa muda mfupi nenda kafuatilie madudu aliyofanya.

Bangladesh inaongozwa na mwanamke kafuatilie utumbo unaoendelea kwa sasa.

Embu tafakuri muda mwingine.
Hakuna nchi iloongozwa na kiongozi mwanamke ikanusurika kupata anguko NEVER.
 
Back
Top Bottom