ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,244
Gloria Aroyo,Jacinda Aden,Julia Gillard na Sasa Samia ,kiufupi ni wengi na endless list.Nitajie kiongozi wa kike mmoja aliyeitoa nchi kwenye umaskini hadi ikawa tajiri.
Kwanza kumbuka wanawake wamekuwa wakikandamizwa miaka na mikaka Kwa sababu za mfumo dume.