Is your turn now. Tueleze how kenya ina handle mafuriko. Umeelezwa kinagaubaga kuhusu TanzaniaVifo vya mwisho vya mafuriko kwa hizi nchi vimefanyika wakati mmoja. Sidhani hiyo statement ya huko yameisha na huku bado yapo ni sahihi.
Still mnalalamika! Timu gani ya Mwanza ipo ligi kuu? Airport Sukumagang wenzenu wamekula hela!Mwanza kuna Stand mbili za Mabasi
1. Nyegezi Bus Stand (Mabasi yanayotoka Dar Rwanda, Burundi nk)
View attachment 2979651
2. Nyamhongolo Bus Stand (Mambasi yanayotoka Kenya, Mara na kwingine)
View attachment 2979652
Mzee haya yametoka wapi ndugu yangu? Umeiona mwanza tu ndio inatakiwa iwe na Timu kwenye Ligi kuu?Still mnalalamika! Timu gani ya Mwanza ipo ligi kuu? Airport Sukumagang wenzenu wamekula hela!
Nilikuwa naongelea unafiki wa watu humu. Alafu nimeeleza jinsi Kenya tunavyoripoti mambo kama haya ni tofauti sana na Tz. Sahii ukiangalia mitandaoni unaweza dhani Kenya Kuna mafuriko Tz hakuna.Then usiseme kuwa mafuriko hayaripotiwi. Ni vile husomi sehemu yanapotangazwa.
Kama Glasgow kumbe ni Dom Marshaling Yard, Kunyaland will never nashangaaga wanapata wapi guts za kudebate na hii project
View: https://vm.tiktok.com/ZMMG8dSgN/
Unataka hizi nchi mbili zifanane?๐๐๐Nilikuwa naongelea unafiki wa watu humu. Alafu nimeeleza jinsi Kenya tunavyoripoti mambo kama haya ni tofauti sana na Tz. Sahii ukiangalia mitandaoni unaweza dhani Kenya Kuna mafuriko Tz hakuna.
Tulishasema humu. Na tukahoji hivi kwa mito ilivyo mingi hapa Dar ingekuwa Nairobi mgeishije? Hapo Nairobi hakuna hata mito mikubwa lakini mafuriko mpaka Airport, huoni utofauti?Nilikuwa naongelea unafiki wa watu humu. Alafu nimeeleza jinsi Kenya tunavyoripoti mambo kama haya ni tofauti sana na Tz. Sahii ukiangalia mitandaoni unaweza dhani Kenya Kuna mafuriko Tz hakuna.
We kweli msenge.Hivi unadhani Kenya kukinyesha maji yanabakia kwa siku ngapi? You're very stupid.
Siku Tanzania ikiwa na CDF au IGP mwanamke ndio utaelewa kongole ni ya nini.
Unasumbuka na Bumunda la Mwakaleli ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐CDF,IGP na Rais nani mkubwa uwe unajibu swali sisi tayari tuna rais mwanamama na mimi pia nasubiria jibu kongole ya nini
Mnataka kututenga sana kama vile sisi sio Watanzania,siku Lissu akifanikiwa kuitenga Tanganyika na Zanzibar,Lake zone tutaanza kupambana tupate nchi yetu rasmi.......hatuwezi kuendeshwa kubali mambo ya kipumbavu kama haya
Nimepita Kinondoni road leo Wameziba kila kitu ๐๐. Barabara haina hata Tobo sasa hivi.Kimweri, Haile Selassie, Kinondoni road kuanzia makaburini hadi Kawawa zote hazifai kwa sasa . Zimeharibiwa na Mvua.
Nyie kenge mna chuki na Samia Hadi mnatamani yamkute ya Mwendazake ila ndio hivyo tena.CDF,IGP na Rais nani mkubwa uwe unajibu swali sisi tayari tuna rais mwanamama na mimi pia nasubiria jibu kongole ya nini
Nimeona. Lile shimo lilikuwa linasababisha foleni sana.Nimepita Kinondoni road leo Wameziba kila kiti ๐๐. Barabara haina hata Tobo sasa hivi.