Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I've been seeing this line of argument from Tanzanians a lot. Do you people think it rain once in Kenya and water remained killing people for weeks?
Alafu umesema mvua imenyesha huko kwenu ikavunja madaraja, mbona wenzako hawajaweka hizo picha humu? Mbona kila mara wanaweka za Kenya wakicheka? Yani kwako kunawaka moto yet wewe umeshughulika kuweka nyumba ya jirani ikichomeka ukimcheka wakati kwako kuko hivo hivo. Huoni huo ni ujinga?
Hio iliovunja madaraja watu waliweka humu JF sio lazima jukwaa hili. Mvua ya last week mafuriko yake yameisha tayari maisha yanaendelea. Tuambie huko Kenya hali imerudi kawaida? Maana picha nyingi na habari zinaonesha as if bado kuna floods. Nimeona CNN hata leo asubuhi, na Larry Madowo ndio anaongoza kutangaza mafuriko Kenya.
 
Naongelea watu kwa hii thread maanake mimi, siongelei huko kwengine.

Kenya media zetu huwa proactive. Wao hureport even more than they need to. Ndio maana despite the fact that mafuriko yameuwa watu wengi huko kwenu kuliko huku, the general feeling ni kwamba huku ndio kuna mafuriko. Alafu sidhani kama huko kwenu yameisha, labda Dar hayapo ila the whole of Tanzania lazima yapo ni vile media zenu ni ovyo.
 
Sio Mimi nimesema bro, mueleze Mtanzania mwenzako. I'm just an observer. Kawaida anayebaguliwa akilalamika wanaofaidika kwa huo ubaguzi hujaribu kumkemea. Haya Kinjekitile Jr , kazi kwako.
Sawa no problem.

Anyway mafuriko yakiwa Dar yanalipotiwa maana bila kuripotiwa tutakwepaje njia sumbufu.

Now ni siku kama nne toka mvua ikate tumerudi kule kwa Joto kali. Sometimes unatamani tena mvua. *** Dar.

Nenda Miradi ayo scroll downs utaona mafuriko, unazani hii serikali iliyojaa kusifu watazibia mafuriko ambayo yatawapa airtime ya kusifu.

Toka mvua ipige kuna maeneo yalikua hit sana.

Hanang Manyara, taarifa zipo humu hadi uokoji, misaada, na after mafuriko report ya ukarabati na ukabidhi wa kaya, ardhi kwa wananchi.

Next ni Rufiji, ni ya juzi tu na ilisingiziwa bwawa la nyerere na kelele nyingi.

Ila serikali ilifika na kutoa msaada.

Wanaofata Bonde la mto msimbazi watu wabishi walishwalipwa na kupewa viwanja lakini wakauza wakarudi bomoa bomoa ilishapitishwa ila siasa na kurudi inakua janga.

Anyway kupunguza majanga hayo mto ulijengewa kingo, kuanzia KIMARA-SINZA-TANDALE-MAGOMENI-JANGWANI.

Na huo mto umekua connected na mitaro mingi ya barabara kuondoa maji yaliyokua yanatuama.

Badala ya kama zamani maji kuwreck havock kwa makazi ya watu now yananyoosha mpaka baharini. Isipokua hapo Jangwani plan ya Daraja kubwa ipo ila wanajivuta may be kwa sababu mvua ikiisha mambo yanarudi kama zamani, na walihamisha UDART kwenda Ubungo.
 
Jibu swali, media za bongo haziongelei mafuriko ya bongo?
Unaweza kuthibitisha ulicho andika hapo?
Mimi sijapata news zozote kwa media za bongo halafu kuna wenzako humu wanakana hamna mafuriko Bongo meaning media zenu hazireport kiukamilifu. Yani hapa Kenya jambo kama hili linakuwa ni National Issue, ukiwasha TV hivi hilo ndio jambo litakuwa likiongelewa hadi kila mtu anajua kinachoendelea, meanwhile hapo bongo wataguzia tu juu juu alafu warudi kwa Mondi na Zuchu ama Yanga na Simba.
 
Sawa no problem.

Anyway mafuriko yakiwa Dar yanalipotiwa maana bila kuripotiwa tutakwepaje njia sumbufu.

Now ni siku kama nne toka mvua ikate tumerudi kule kwa Joto kali. Sometimes unatamani tena mvua. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala Dar.

Nenda Miradi ayo scroll downs utaona mafuriko, unazani hii serikali iliyojaa kusifu watazibia mafuriko ambayo yatawapa airtime ya kusifu.

Toka mvua ipige kuna maeneo yalikua hit sana.

Hanang Manyara, taarifa zipo humu hadi uokoji, misaada, na after mafuriko report ya ukarabati na ukabidhi wa kaya, ardhi kwa wananchi.

Next ni Rufiji, ni ya juzi tu na ilisingiziwa bwawa la nyerere na kelele nyingi.

Ila serikali ilifika na kutoa msaada.

Wanaofata Bonde la mto msimbazi watu wabishi walishwalipwa na kupewa viwanja lakini wakauza wakarudi bomoa bomoa ilishapitishwa ila siasa na kurudi inakua janga.

Anyway kupunguza majanga hayo mto ulijengewa kingo, kuanzia KIMARA-SINZA-TANDALE-MAGOMENI-JANGWANI.

Na huo mto umekua connected na mitaro mingi ya barabara kuondoa maji yaliyokua yanatuama.

Badala ya kama zamani maji kuwreck havock kwa makazi ya watu now yananyoosha mpaka baharini. Isipokua hapo Jangwani plan ya Daraja kubwa ipo ila wanajivuta may be kwa sababu mvua ikiisha mambo yanarudi kama zamani, na walihamisha UDART kwenda Ubungo.
Natumai wenzako akina Geza Ulole na toilet boy wanasoma haya maanake wanaona ni kama huko kwenu hayapo.
 
I've been seeing this line of argument from Tanzanians a lot. Do you people think it rain once in Kenya and water remained killing people for weeks?
Alafu umesema mvua imenyesha huko kwenu ikavunja madaraja, mbona wenzako hawajaweka hizo picha humu? Mbona kila mara wanaweka za Kenya wakicheka? Yani kwako kunawaka moto yet wewe umeshughulika kuweka nyumba ya jirani ikichomeka ukimcheka wakati kwako kuko hivo hivo. Huoni huo ni ujinga?
Shida mpaka now twitter inaunguruma, why? Na kelele za media zinaendelea, kama hayapo kuna nini?
 
Naongelea watu kwa hii thread maanake mimi, siongelei huko kwengine.

Kenya media zetu huwa proactive. Wao hureport even more than they need to. Ndio maana despite the fact that mafuriko yameuwa watu wengi huko kwenu kuliko huku, the general feeling ni kwamba huku ndio kuna mafuriko. Alafu sidhani kama huko kwenu yameisha, labda Dar hayapo ila the whole of Tanzania lazima yapo ni vile media zenu ni ovyo.
Unadhani. na wewe ungetoka nje ya Kenya forum ungejua kuwa mafuriko huwa yanakuwa reported sana tu.
 
Utalii Kwa Tzn walishakariri kwamba ni Serengeti, Ngorongo na Zanzibar ila Kuna mambo mengi ya maana ya kufanya.
Sana na inazingua, hata dar ina potential ile stretched shoreline ikifanya kama Luanda si tutakula pesa sana, na hivyo vibanda vya mihogo vinajengwa kisasa, kila mtu anajua akifika anakula unique food pale.

Badala ya kuwa vile.
 
Shida mpaka now twitter inaunguruma, why? Na kelele za media zinaendelea, kama hayapo kuna nini?
First of all, kuna mafuriko sehemu nyingi Kenya. Mvua inaweza nyesha leo Nairobi ilete mafuriko, kesho ikanyesha Maai Mahiu, kesho kutwa Makueni. Kutakuwa na mijadala mitandaoni kwa hizo siku tatu maanake Kenya media yetu huwa exhaustive sana sio lazy kama hizo za kwenu. Alafu hayo mafuriko hayapo kisa maji hayakuenda, la, yapo kisa mvua ilinyesha jana yakaisha tena mvua ikanyesha leo, kukafurika kwa mara ya pili.
 
Mimi sijapata news zozote kwa media za bongo halafu kuna wenzako humu wanakana hamna mafuriko Bongo meaning media zenu hazireport kiukamilifu. Yani hapa Kenya jambo kama hili linakuwa ni National Issue, ukiwasha TV hivi hilo ndio jambo litakuwa likiongelewa hadi kila mtu anajua kinachoendelea, meanwhile hapo bongo wataguzia tu juu juu alafu warudi kwa Mondi na Zuchu ama Yanga na Simba.
Sema hujafollow media za bongo kwenye mitandao ya kijamii na sio kusema eti media za bongo haziongelei mafuriko.
Una uhakika media za bongo hazireport kikamilifu? Kwanini wewe ni mpumbav? Pumbav sio tusi.
 
Natumai wenzako akina Geza Ulole na toilet boy wanasoma haya maanake wanaona ni kama huko kwenu hayapo.
Noted: Anyway kila mafuriko bongo hata yawe nje ya Dar yana affect tutaiona tu hata wasitangaze, SOUTHERN TANZANIA ambayo ni Agricultural Cordor, ikiwa hiti na mvua kubwa au mafuriko usafiri ukiwa shida stocks ya agricultural products inashuka masokoni na bei iwe kubwa so unatakiwa kuwataarifu wanachi vinginevyo serikali itaanza kulaumiwa.

Central Tanzania kuna njia nyingi zinazounganisha mikoa na usafiri wa mabasi, reli kupita. So ikitokea mafuriko barabara zinafungwa lazima taarifa ipatikane maana barabara ikifungwa simu za viongozi wote wanaitwa kufika eneo husika. Ukiongeza abiria.

Northern Tanzania inafanana na Central, kwa kuwa Arusha na Kilimanjaro ni za watalii lazima iripotiwe na njia za bus, Juzi hapa kulikua na mafuriko Arusha na yalilipotiwa.

Lake zone ni kama Central na Southern Tanzania ila unaongeza pia Agricultural products na Fisheries, Dagaa wa Bukoba, Migebuka, sato na Sangara nchi nzima wanatokea Kanda.

Kulitokea Mafuriko Morogoro you saw here the sugar crisis.

Maana Morogoro inaongoza kwa sugarcane production na viwanda vya sukari.

My whole point ni kuwa Tanzania mafuriko yanalipotiwa vizuri tu.
Tatizo unakuta kesho yake mvua inakata shughuli inaendelea kama hakukua na kitu. Inachangiwa zaidi na TANROADS kurudisha Mawasiliano hata kama ni Usiku.

Wizara na viongozi kufika kutatua changamoto on point.

We thank them for that.

Sasa inakuja huko kwenu mpaka leo March 3 habari inaendelea.

Juzi March 1, ilikua JNA kujaa maji.

Tufanyeje sasa, huku yameisha na huko yapo na Huu uzi ni battle ya Dar vs Nai, kuanzia urban development ambayo inahusisa how jiji linahandle natural issues kama hiyo mvua.

Dar Kukavu huko kelele zinaendelea si Battle iendelee

1000012746.jpg
 
View attachment 2979671
Vifo vya mwisho vya mafuriko kwa hizi nchi vimefanyika wakati mmoja. Sidhani hiyo statement ya huko yameisha na huku bado yapo ni sahihi.
 
Back
Top Bottom