Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku Tanzania ikiwa na CDF au IGP mwanamke ndio utaelewa kongole ni ya nini.
Hvi ww akili yako iko sawa sawa? aliekwambia CDF wa Kenya ni mwanamke Nani ??? 😅😅😅 Kwann hua husomi habari kwa umakini alaf ukaelewa vyema, kwann unapenda Sana kukurupuka ??

Tuliza akili yako mzee sometimes unaonekana kama taa ya check engine inawaka

View: https://twitter.com/CTNSIS/status/1785959579198607504?t=_tC_iVYUqHO5ajbMA81law&s=19

View: https://twitter.com/aomenya/status/1785969249707552869?t=OFAi40LF-WqKQ8XDKuUPgw&s=19

View: https://twitter.com/WueehTV/status/1785999936510677435?t=QR1Gc1YhdBAFjUf2NJgfag&s=19
 
Hvi ww akili yako iko sawa sawa? aliekwambia CDF wa Kenya ni mwanamke Nani ??? 😅😅😅 Kwann hua husomi habari kwa umaskini alaf ukaelewa vyema, kwann unapenda Sana kukurupuka ??

Tuliza akili yako mzee sometimes unaonekana kama taa ya check engine inawaka

View: https://twitter.com/CTNSIS/status/1785959579198607504?t=_tC_iVYUqHO5ajbMA81law&s=19

View: https://twitter.com/aomenya/status/1785969249707552869?t=OFAi40LF-WqKQ8XDKuUPgw&s=19

View: https://twitter.com/WueehTV/status/1785999936510677435?t=QR1Gc1YhdBAFjUf2NJgfag&s=19

Wapi nimesema CDF wa Kenya ni mwanamke? Acha kuvuja mkojo mdomoni
 
Wapi nimesema CDF wa Kenya ni mwanamke? Acha kuvuja mkojo mdomoni
Kwann umesema siku tukipata CDF mwanamke nitajua maana ya kongole??

SASA nikuulize tena kongole Ile ulokua unamanisha nn??😅😅😅😅😅😅

Unakwenda mbio Sana mzee wakat mwengine hua nadhani relay yako ya kichwa inapiga cheche
 
Kwann umesema siku tukipata CDF mwanamke nitajua maana ya kongole??

SASA nikuulize tena kongole Ile ulokua unamanisha nn??😅😅😅😅😅😅

Anakwenda mbio Sana mzee wakat mwengine hua nadhani relay yako ya kichwa inapiga cheche
Kwa sababu tunajifinza Kwa waliowainua wanawake level za Juu.Hata Rais alisema msije kushangaa siku Moja CDF akiwa mwanamke.

Acha kupenga makamasi Kwa njia ya mdomo
 
Kwa sababu tunajifinza Kwa waliowainua wanawake level za Juu.Hata Rais alisema msije kushangaa siku Moja CDF akiwa mwanamke.

Acha kupenga makamasi Kwa njia ya mdomo
Mwanamke atabaki kua mwanamke as long matabaka ya mwanamke na mwanaume ni tofaut Yani alietuumba hakuweka usawa, uje wewe mwenye akili za sisimizi uweke usawa, ww unafkiri kwann linatumika Neno akiwezeshwa anaweza maana yake ni mpaka awezeshwe na mwanaume ndio aweze, simple and clear 😅😅😅😅😅😅 na hata upande wa Rais wetu ni same dodo limedodoka likaokotwa sio kwamba alichaguliwa na wananchi, usipende kukuza Mada ambayo haina mantiki
 
Thanks for confirming that indeed these are stadiums in Africa and have nothing to do with approval 😂😂😂.

Ukinionyesha report ya CAF natoka JF for good😂😂
Mwalimu wako alipata tabu sana kukufundisha darasani
 
Bado hawaja pata stima wachaji simu zao hawa ng'ombe wa North? Kuna giza sana na ukimya hapaa...

IMG_20240502_192503.jpg
 
Back
Top Bottom