Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah! Tuombe uzima asee
Hakuna jipya apo kaka, Tanzania ni nchi inayolindwa na mizimu mikali sana, hakuna cha kimbunga wala mavi ya kimbunga, unakumbuka kimbunga kilichopita? Zilitoka pepo kutoka North zikakipiga kile kimbunga sijui jobe sijui nn kikapotelea mbali, the same applies to this, so don't worry this is the blessed country ever.
 
halafu unajua ikitukosa sie Hidaya ataenda kugonga wapi?
 
Kama tungekuwa tuna host wenyewe na sio EA , am sure Mwanza ingechaguliwa
1.Dar ni lazima iwe picked. Commercial capital , More training stadiums( Karume, Boko, Azam Complex)
2. Zanzibar Lazima iwe picked- Hotels, Plus ni United republic , plus more touristic city
3.Arusha vs Mwanza , I think ni Arusha ina hotels plus, International airport, ipo karibu na Moshi , Ngorongoro etc, Mwanza is more of business than touristic city , so Arusha ikashinda
4. Kwenye Dodoma vs Mwanza , nafikiri Issue ni Capital city, inagwa sidhani kama imezidi mwanza kwa hotels, lakini SGR kufika Dodoma pia itaipa nafasi
Unataka kunambia wanataka kujenga uwanja Dodoma halafu Mwanza wanaisahau kweli?? Hili kwa watu wa Kanda ya ziwa ambao ndio wengi kuliko Kanda yoyote ile hatulikubali kabisa
 
Mnataka kututenga sana kama vile sisi sio Watanzania,siku Lissu akifanikiwa kuitenga Tanganyika na Zanzibar,Lake zone tutaanza kupambana tupate nchi yetu rasmi.......hatuwezi kuendeshwa kubali mambo ya kipumbavu kama haya
Si huwa mnasema Tanzania hamna ubaguzi. Nini hii tena.😂😂
 
Back
Top Bottom