President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,723
- 89,735
Nimepita Maeneo ya Lugalo kuna Kampuni ya SDLQ imeweka mawe kwaajili ya ujenzi wa BRT. SIjajua kama hiyo ndio Phase ya kwenda Tegeta au ile ya Kwenda Kawe kuzunguka kuja Mwai Kibaki Road.
Mwenye taarifa kamili please
Mwenye taarifa kamili please