Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I don’t know who lied to Tanzanian that Kenyan stadiums have no lights😂😂

  • Photo by Christopher Kirwa on April 19, 2024. May be an image of 2 people, people playing soccer, grass, stadium and text.
Onesha ni mechi gani ilichezwa usiku.
 
Hapo CAF kuna walaji wa Mlungula ajab. Yani hiki kidude kiwe approved na Namboole, Nakivubo, Amahoro, Nyayo zisiwe approved? Hapa kuna corruption ajabu. Kumbuka hata pale FIFA kumekuwa na cases za corruption nyingi sana alafu hiyo Azam inamilikiwa na mtu binafsi. Hapo kutoa mlungula ni rahisi sana.
Wewe ni mpumbavu wa wapi? Ukisikia kiwanja kinakuwa approved by CAF ni lazima ki meet requirements za CAF, sio tu majukwaa bali ni infrastructures zote ziwe kamili, kuanzia eneo la kuchezea, eneo la kukaa mashabiki pamoja na infrastructures nyingine kama washrooms na mifumo ya maji taka kiujumla n.k sasa viwanja vingi vya ki Africa vinafeli hapa kwenye mifumo ya majitaka, unakuta uwanja mavi yanaelea chooni alafu unataka uwe approved?
 
Back
Top Bottom