Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uachage ufala we jamaa.
1)Kama Magufuli asingeleta refinery kubwa ya kurefine gold 99.99 pure,Tanzania tungeuza wapi Dhahabu kwa thamani ya soko ya dunia!?Ilikua kuichenjua hiyo dhahabu mpaka tutumie njia mbadala ikiwemo kuiuza kwa bei pungufu ikachenjuliwe nje.Ila Magufuli alinunua mtambo ikawa inachenjuliwa hapa hapa na inakua safi 99.99 pure.
2)Uzalishaji wa dhahabu uliongezeka kwa kuwapa mikopo na kuwawekea mazingira rahisishi wachimbaji wadogo wadogo na wachuuzi pia,kipindi cha nyuma ilikua ukiwa na dhahabu ama madini yeyote kama hauna leseni hauuzi na unakamatwa,hiyo imesababisha watu wauze kwa wafanyabiashara wenye leseni kwa bei chee,na wafanyabiashara wanakata kibali wanauza nje.Ila sasa hivi hata kama hauna leseni unaenda ofisi za tume ya madini unauza wanakukata 10% ya VAT unaondoka.
3)Wachimbaji wadogo walipewa mikopo rahisi ili kuboost uzalishaji.
4)Makinikia yalikua yakipelekwa nje kuchenjuliwa ila Magufuli alihimiza yachenjuliwe ndani na elimu na vifaa vya uchenjuliaji vikawepo,hivi unajua kama unapoozesha makinikia kwenye karo baada ya muda unaweza otesha dhahabu kwa yale mabaki!?

Elezea Samia kafanya nini kuongeza pato la madini??
Mie nasubiri hapa
Anazingua huyo muulize TEMBO NICKEL, TWIGA MINERALS zilitoka wapi?

Baada ya lile sakata la Barrick ndio alifanyia marekebisho sheria nyingi za madini, ikiwemo baadhi ya leseni za utafiti kufutwa nyingine kurudi kwa wazawa.

Nani asiyejua jinsi Tanzanite ilikua inaunguruma Kenya na India kimapato, Mzee kaidhibiti now unajua kuipata ni Tanzania tu.

Masoko ya Madini nani alikuja na plan yake? Kudhibiti black market ya madini.

Nani aliamua BOT ianze kununua dhahabu kama reserve?

Mama tunamshukuru kwa kuendeleza ila usitufanye wote watoto kelele kua nyingi utadhani vyote vyake.
 
Unaongea kama mjinga,kabla ya refinery tulikuwa hatuuzi Dhahabu? By the way hizo refinery zenyewe Zina underperform sana hata nusu ya uwezo wake hazisafishi Kwa sababu watu Bado Wana export Nje Kwa kuwa wanasema mazingira sio rafiki sana.

Mwisho onesha Wachimbaji wadogo wakipewa mikopo rahisi Ili niweke takwimu sawa.
Mbona umejikaanga mwenyewe sasa.

Nyie mlioachiwa mbona mnafanya mazingira yasiwe rafiki?
 
Watchman mambo vipi? Taa kama hizi utapata kwa stadium gani Tanzania?😂😂😂

  • Photo by Christopher Kirwa on April 19, 2024. May be an image of 1 person, track and field, trampoline and stadium.
LUX ngapi?
 
Hapo CAF kuna walaji wa Mlungula ajab. Yani hiki kidude kiwe approved na Namboole, Nakivubo, Amahoro, Nyayo zisiwe approved? Hapa kuna corruption ajabu. Kumbuka hata pale FIFA kumekuwa na cases za corruption nyingi sana alafu hiyo Azam inamilikiwa na mtu binafsi. Hapo kutoa mlungula ni rahisi sana.
We nawe vipi? AMAHORO, NAMBOOLE, NAKIVUBO mwaka huu ndio vimekamilika, subiri ripoti ya Approved mwaka huu.

Wanacheki kila Mwaka.
 
Back
Top Bottom