Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini ilifikia aje hadi such a stadium ikuwe approved by CAF???... Teargas , NairobiWalker Kujeni hapa kwa kikao..

1714639369730.png
 
Mkoa wa Songwe TanRoads wanajenga underpass ambayo itakuwa na maduka kabisa huko ground ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Under pass yenye maduka .? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anyways underground shopping is common in kariakoo. Almost majengo yote mapya utapata yako na under ground shops
 
Unajue unabishana na mbuzi kazi aliyokuwa anafanya ni supermarket hana anacho kijua
Bei za madini ya almasi na vito soma maelezo yake hapo nilipozungushia nyekundu.
Pia nahisi hayo maelezo umesoma vibaya.
Gemstone zimegawanyika kwa namna mbili.
Kuna cabscion na kuna yenye thamani.
Yanayouzwa kwa makilo ndio yamewekwa katika hiyo orodha.
Kama vile garnet,rhodolite na cabscion zingine.
Huwezi ukakuta almasi,ruby ama emerald zikawekwa hapo katika makilo.
Kwasababu is very rarely to get grade A either diamond ora Ruby or emerald.
Maelezo ya tume ya madini 2024.
View attachment 2978665
 
Under pass yenye maduka .? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anyways underground shopping is common in kariakoo. Almost majengo yote mapya utapata yako na under ground shops
Ndio hiyo Sasa ,ni underpass na itakuwa na frame kabisa ,kama hutaki subiria ikamilike nitakuletea picha
 
Hapo CAF kuna walaji wa Mlungula ajab. Yani hiki kidude kiwe approved na Namboole, Nakivubo, Amahoro, Nyayo zisiwe approved? Hapa kuna corruption ajabu. Kumbuka hata pale FIFA kumekuwa na cases za corruption nyingi sana alafu hiyo Azam inamilikiwa na mtu binafsi. Hapo kutoa mlungula ni rahisi sana.
Lakini ilifikia aje hadi such a stadium ikuwe approved by CAF???... Teargas , NairobiWalker Kujeni hapa kwa kikao..

View attachment 2978871
 
Lakini ilifikia aje hadi such a stadium ikuwe approved by CAF???... Teargas , NairobiWalker Kujeni hapa kwa kikao..

View attachment 2978871
Hii ni moja ya mechi imechezwa Jana chamanzi na imeisha Saa nne na nusu usiku
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

View: https://youtu.be/lfdilvhOIMU?si=0Hm7p-hiGo8w4NGZ

View: https://youtu.be/dDjZrWCGaD4?si=39R9xRhnyziJdoEQ

View: https://youtube.com/shorts/Nb797M72lko?si=MoqCkP7vuBC2zm2L

View: https://twitter.com/YoungAfricansEN/status/1785938788046299622?t=7wrkoNZPmb_9DBdvhVtqfQ&s=19
 
Hapo CAF kuna walaji wa Mlungula ajab. Yani hiki kidude kiwe approved na Namboole, Nakivubo, Amahoro, Nyayo zisiwe approved? Hapa kuna corruption ajabu. Kumbuka hata pale FIFA kumekuwa na cases za corruption nyingi sana alafu hiyo Azam inamilikiwa na mtu binafsi. Hapo kutoa mlungula ni rahisi sana.
Naona unajipendekeza na rejesta za bongo. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
CAF IS just piece of shit...corrupt to the core
Kwann Nyayo stadium inafanyiwa renovation mara ya pili ??๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Unajua sababu lakini

Jengeni vitu kwa quality na standards sio munajenga kwa mihemko Tu ya kisiasa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hapo CAF kuna walaji wa Mlungula ajab. Yani hiki kidude kiwe approved na Namboole, Nakivubo, Amahoro, Nyayo zisiwe approved? Hapa kuna corruption ajabu. Kumbuka hata pale FIFA kumekuwa na cases za corruption nyingi sana alafu hiyo Azam inamilikiwa na mtu binafsi. Hapo kutoa mlungula ni rahisi sana.
Naoma hii forum imekusaidia sana kwenye kiswahili ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom