Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zichambue hizo takwimu.
Pia nakupa msisitizo maelezo ya tume ya madini hayajaweka bei ilekezi ya gemstone.
Jiulize kwa nini!?
Soma hiyo ripoti vizuri bei elekezi ya madini yote imewekwa,kwa nini almasi na gemstone wamesema itapimwa kulingana na mng'aro na ubora!?
Umejiuliza kwa nini!?
Naomba nikuache hapo mkuu.View attachment 2978693
Tume imeweka Mapato,iweje Madini yenye Mapato makubwa unavyodai wewe(germstone) na Yana kilo nyingi yazalishe Mapato kidogo? 😂😂
 
😂😂😂😂😂Aiseee kwa akili hizi huu mjadala haukufai.
Kwa nini unadai gemstone ni valueless!?

-Almasi 1 carat ni $ 15,000.
-Ruby 1 carat ni $ 12,000.
-Saphire 1 carat ni $ 4,000.
-Tourmaline 1 carat ni $ 900-1,200.
Carat ni nusu gram.
Embu chukua hizo fedha badili kwa Tanzanian shillings.
Ilhali dhahabu carat 2/1 gram ni $ 58-70.
Pimia hapo.
Acha kupoteza muda wako mkuu,huyo unaejitahidi kumuelewesha ni chizi so ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa,akuelewi kamwe
 
Taa ziko wapi? Siku ligi ya Kenya ikichezwa usiku njoo tuzungumze.
Watchman mambo vipi? Taa kama hizi utapata kwa stadium gani Tanzania?😂😂😂

  • Photo by Christopher Kirwa on April 19, 2024. May be an image of 1 person, track and field, trampoline and stadium.
 
Weka highest bei ya Dhahabu kama ilivyokuwa bei ya ruby.

Mwisho mbona hutaki takwimu za Wizara ya Madini inakomaa na habari za kuokoteza?
Tume imeweka Mapato,iweje Madini yenye Mapato makubwa unavyodai wewe(germstone) na Yana kilo nyingi yazalishe Mapato kidogo? 😂😂
Mkuu ninakupa maelezo ya mwisho.
Katika jedwari lako la mapato kuna sehemu ya vito na sehemu ya Tanzanite.
Kwa nini wameweka sehemu ya vito na Tanzanite?
Kwani Tanzanite siyo sehemu ya vito!?
Vito vimegawanyika kwa ama katika makundi mawili;
1)Gemstone as gemstone mathalan garnet,rhodolite na amethyst.
Haya ni yenye thamani ndogo hivyo hupimwa kwa makilo.
Lazima uwe na kilo ndio uuze.Mathalan amethyst kilo moja ni $ 200.
2)Kundi la Almasi(almasi,tanzanite,ruby,emerald,sapphire),hivi ni vito vinapimwa kwa carat/0.2 gram na ni vito vyenye thamani ulimwenguni kwa sababu tatu.
-Hung'ara sana kupitiliza.
-Yako rigid.
-Magumu kuyapata tena saanaa.
Hizi huwezi kukuta zikawekwa group moja na vito vingine.Ndio maana hata katika ripoti yako kuna mapato ya vito na Tanzanite.
Na mind you unaweza pambana miaka kumi kuchimba gram 10 tu za almasi na ukazikosa.

Tuje katika hesabu za mwisho,maana umeniambia nikokotoe basi nimekusaidia kukokotoa.
Rekodi kubwa hapo ya mapato ni dhahabu ya Lindi yenye uzito wa gramu 146,884.25 ambayo imeleta mapato ya bilioni 21.599.
Tanzanite ya rekodi kubwa ni ya carat 9,793 sawa na gramu 1958,ikaleta mapato ya bilioni 2.121.
Hivyo tungesema tuuze Tanzanite gram sawa na za dhahabu ya Lindi inamaana tuchukue gram 1958 tukiiingiza kwa gram 146,884 inaingia mara 700+.
Bimaana kwa thamani hiyo hiyo Tanzanite ingetuingizia Trilion 1.44 recurring decimal.
Nani angekua kaingiza pesa nyingi!?

Uwe na asubuhi njema mkuu.
 
Onesha ligi ya Kenya ikichezwa usiku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa unapojichekesha chekesha ukisema CAF standard je co kweli? Utake usitake timu zenu lazima zije Tanzania kucheza mechi za CAF mana kwenu hakuna uwanja uliokidhi vigezo hata ukilia haisaidii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
This thing is not CAF approved. Where are the seats? Where are the permanent stands here.

IMG_0157.jpeg
IMG_0181.png
 
Ulivyo haya hauna ukachukua pic za Azam complex za zamani ukazileta hapa.
Sifa za uwanja wa Azam mpaka ukapewa hadhi na CAF/FIFA.
1)Viwanja vizuri vya mazoezi.
2)Pitch nzuri ya kuchezea mpira.
3)Mabench mazuri ya ufundi.
4)Vyumba vizuri vya kubadilishia nguo.
5)V.A.R.
6)Taa kubwa,nzuri na za kisasa kwaajili ya mechi za usiku.

Je Kisirani stadium inazo hizo sifa!?
Ebu tuonyeshe report ya CAF wakipea Azam hadhi 😂😂😂.

Azam has no training ground, players are training on the same pitch that matches are being played.
Bench ya Azam cannot accommodate 14 people which is the CAF minimum bench number.
Azam changing rooms are pathetic, that’s why you don’t want to post them here.
Taa ziko kwa kila Stadium huku Kenya😂😂
 
Haya Lia vzr SASA 😂😂😂

Screenshots_2024-05-02-09-40-35.png
 
Ebu tuonyeshe report ya CAF wakipea Azam hadhi 😂😂😂.

Azam has no training ground, players are training on the same pitch that matches are being played.
Bench ya Azam cannot accommodate 14 people which is the CAF minimum bench number.
Azam changing rooms are pathetic, that’s why you don’t want to post them here.
Taa ziko kwa kila Stadium huku Kenya😂😂
report ya nini wakati Gor Mahia walikataliwa kutumia kiwanja chochote Kundustan as all are substandards not meeting their criteria!
 
Mkuu ninakupa maelezo ya mwisho.
Katika jedwari lako la mapato kuna sehemu ya vito na sehemu ya Tanzanite.
Kwa nini wameweka sehemu ya vito na Tanzanite?
Kwani Tanzanite siyo sehemu ya vito!?
Vito vimegawanyika kwa katika makundi mawili.
1)Gemstone as gemstone mathalan garnet,rhodolite na amethyst.
Haya ni yenye thamani ndogo hivyo hupimwa kwa makilo.
Lazima uwe na kilo ndio uuze.Mathalan amethyst kilo moja ni $ 200.
2)Kundi la Almasi(almasi,tanzanite,ruby,emerald,sapphire),hivi ni vito vinapimwa kwa carat/0.2 gram na ni vito vyenye thamani ulimwenguni kwa sababu tatu.
-Hung'ara sana kupitiliza.
-Yako rigid.
-Magumu kuyapata tena saanaa.
Hizi huwezi kukuta zikawekwa group moja na vito vingine.Ndio maana hata katika ripoti yako kuna mapato ya vito na Tanzanite.
Na mind you unaweza pambana miaka kumi kuchimba gram 10 tu za almasi na ukazikosa.

Tuje katika hesabu za mwisho,maana umeniambia nikokotoe basi nimekusaidia kukokotoa.
Rekodi kubwa hapo ya mapato ni dhahabu ya Lindi yenye uzito wa gramu 146,884.25 ambayo imeleta mapato ya bilioni 21.599.
Tanzanite ya rekodi kubwa ni ya carat 9,793 sawa na gramu 1958,ikaleta mapato ya bilioni 2.121.
Hivyo tungesema tuuze Tanzanite gram sawa na za dhahabu ya Lindi inamaa tuchukue gram 1958 tukiiingiza kwa gram 146,884 inaingia mara 700+.
Bimaana kwa thamani hiyo hiyo Tanzanite ingetuingizia Trilion 1.44 recurring decimal.
Nani angekua kaingiza pesa nyingi!?

Uwe na asubuhi njema mkuu.
Sawa Rudisha credit Kwa SSH
 
Back
Top Bottom