Unkept natural grass on wavy ground 🤣🤣🤣🤣Those are natural grass idiot.
CAF champions league mtaisikia kwa jirani tuu😁
Unkept natural grass on wavy ground 🤣🤣🤣🤣Those are natural grass idiot.
Nyinyi endeleeni kununua magari ya miaka kumi na tano. Huku soon tutaban magari second hand kabisa. Already heavy commercial vehicles zilishakula ban. Zitafuatwa na light commercial vehicles alafu baadaye private vehicles.Wanajifanya wamesahau EPA waliyo sign peke yao.
Sasa haya masoko yote ya madini uliyoyaweka hapa takwimu zake bila Magufuli yangekuepo? 😁😁😁 Huwezi kutaja mafanikio yoyote ya sector ya madini akosekane Magufuli labda sio TanzaniaKwa hiyo hizi takwimu za serikali ni uongo ila zako ndio sahihi si ndio? 👇👇View attachment 2978655View attachment 2978656View attachment 2978657
Kwa hiyo unataka kusema hakuna mafuriko ya kutisha huko kwenyu?Geza Ulole anacelebrate mafuriko Kenya na kwao yapo zaidi ya huku. Waficha uchi. 🤣 🤣 🤣
Watu wanapost fake news kwa ajili ya engagement halafu kondoo zinapost tu.Geza Ulole anacelebrate mafuriko Kenya na kwao yapo zaidi ya huku. Waficha uchi. 🤣 🤣 🤣
Ukweli. Ila haya maneno tuliyatumia sana kwenye insha shuleni but kwa gumzo la kawaida na nadra yatumike hapa Kenya. Meanwhile, wewe bado Kiingereza chako ni kile kile kibovuuu. 🤣 🤣 🤣Naoma hii forum imekusaidia sana kwenye kiswahili 🤣🤣🤣
Jinyonge basi.“ni nadra kutumika”!
Kenge hubaki Kenge!
Haya maji yamewakuta hapo katikati au waliamua kupita kwenye hayo maji?😅😅😅😅 muuza supu kafa kwa mbuzi
View attachment 2978895
Waliamua kupeleka roho zao kwa Mtoa roho😅Haya maji yamewakuta hapo katikati au waliamua kupita kwenye hayo maji?
These people like living in denial as usualGeza Ulole anacelebrate mafuriko Kenya na kwao yapo zaidi ya huku. Waficha uchi. 🤣 🤣 🤣