Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

cc Sama boy 255 na wafuasi wako.

Soko la Dhahabu la Chunya-Mbeya ndio linaongoza Kwa mauzo ya wachimbaji wadogo hapa Tanzania.
Screenshot_20240501-114636.jpg

Screenshot_20240501-114126.jpg
 
Wewe kaza fuvu ila ukweli utabaki kuwa ukweli.

Na nasubiri ujibu hilo swali hapo chini,huyo mpemba kafanya nini mpaka pato limekua!?
Ukweli gani tofauti na huu wa Samia kuwezesha mazingira Bora ya uwekezaji na Sasa kazuia kufanya exports ya Madini ghafi Kwa leseni kubwa na za kati?

Samia ndio amewapa Hadi Vitendea kazi wachimbaji,kawapelekea umeme hadi.leo hii Chunya inaongoza Kwa Madini.

Mafanikio ya Samia yanageuka ya Magufuli wakati mlikuwa na miaka 5 hatukuona 😁😁
 
Njia zipi? Makinikia? 😁😁😁😁
Uachage ufala we jamaa.
1)Kama Magufuli asingeleta refinery kubwa ya kurefine gold 99.99 pure,Tanzania tungeuza wapi Dhahabu kwa thamani ya soko ya dunia!?Ilikua kuichenjua hiyo dhahabu mpaka tutumie njia mbadala ikiwemo kuiuza kwa bei pungufu ikachenjuliwe nje.Ila Magufuli alinunua mtambo ikawa inachenjuliwa hapa hapa na inakua safi 99.99 pure.
2)Uzalishaji wa dhahabu uliongezeka kwa kuwapa mikopo na kuwawekea mazingira rahisishi wachimbaji wadogo wadogo na wachuuzi pia,kipindi cha nyuma ilikua ukiwa na dhahabu ama madini yeyote kama hauna leseni hauuzi na unakamatwa,hiyo imesababisha watu wauze kwa wafanyabiashara wenye leseni kwa bei chee,na wafanyabiashara wanakata kibali wanauza nje.Ila sasa hivi hata kama hauna leseni unaenda ofisi za tume ya madini unauza wanakukata 10% ya VAT unaondoka.
3)Wachimbaji wadogo walipewa mikopo rahisi ili kuboost uzalishaji.
4)Makinikia yalikua yakipelekwa nje kuchenjuliwa ila Magufuli alihimiza yachenjuliwe ndani na elimu na vifaa vya uchenjuliaji vikawepo,hivi unajua kama unapoozesha makinikia kwenye karo baada ya muda unaweza otesha dhahabu kwa yale mabaki!?

Elezea Samia kafanya nini kuongeza pato la madini??
Mie nasubiri hapa
 
Unaongea kama mjinga,kabla ya refinery tulikuwa hatuuzi Dhahabu? By the way hizo refinery zenyewe Zina underperform sana hata nusu ya uwezo wake hazisafishi Kwa sababu watu Bado Wana export Nje Kwa kuwa wanasema mazingira sio rafiki sana.

Mwisho onesha Wachimbaji wadogo wakipewa mikopo rahisi Ili niweke takwimu sawa.
 
Ona huyu jamaa.
Dhahabu uliokua unauza kipindi hakuna refinery ilikua ukiiuza bei ya chini kwasababu imepungua usafi katika carat zake.
Na dhahabu sio kama saphire au tourmaline,dhahabu thamani yake hupimwa kwa usafi ama percentage purity,kulingana na percentage purity thamani ndio inakua ndogo ama kubwa,bei tuliokua tunauza kipindi hakuna refinery sio sawa na ya sasa.
Kila percentage purity 1 ni 1340.
Wewe dhahabu yako ilikua ikifika sana basi ni 89% kwenye purity,inabaki na takataka kibao.
Pigia mahesabu hapo hasara ilikua ni shingapi.
 
Mapovu ya nini mbona akili Yako Haina ushirikiano? Weka hoja.

Morogoro haipo kwenye heavy weights Bora ungetaja hata Songwe.Kwanza germstone ni valueless.

Mwisho acha mama aitwe mama ameifungua Nchi Kila sekta ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂Aiseee kwa akili hizi huu mjadala haukufai.
Kwa nini unadai gemstone ni valueless!?

-Almasi 1 carat ni $ 15,000.
-Ruby 1 carat ni $ 12,000.
-Saphire 1 carat ni $ 4,000.
-Tourmaline 1 carat ni $ 900-1,200.
Carat ni nusu gram.
Embu chukua hizo fedha badili kwa Tanzanian shillings.
Ilhali dhahabu carat 2/1 gram ni $ 58-70.
Pimia hapo.
 
Kwa hiyo hizi takwimu za serikali ni uongo ila zako ndio sahihi si ndio? 👇👇
Screenshot_20240501-114126.jpg
Screenshot_20240501-114253.jpg
Screenshot_20240501-114216.jpg
 
Kwa hiyo hizi takwimu za serikali ni uongo ila zako ndio sahihi si ndio? 👇👇View attachment 2978655View attachment 2978656View attachment 2978657
Bei za madini ya almasi na vito soma maelezo yake hapo nilipozungushia nyekundu.
Pia nahisi hayo maelezo umesoma vibaya.
Gemstone zimegawanyika kwa namna mbili.
Kuna cabscion na kuna yenye thamani.
Yanayouzwa kwa makilo ndio yamewekwa katika hiyo orodha.
Kama vile garnet,rhodolite na cabscion zingine.
Huwezi ukakuta almasi,ruby ama emerald zikawekwa hapo katika makilo.
Kwasababu is very rarely to get grade A either diamond ora Ruby or emerald.
Maelezo ya tume ya madini 2024.
Screenshot_2024-05-02-07-54-02-53_e2d5b3f32b79de1d45acd1fad96fbb0f.jpg
 
Back
Top Bottom