The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Onesha ligi ya Kenya ikichezwa usiku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sijui ni nani aliaminisha hawa watanzania that Kenyan stadiums have no lights and can’t host night events😂😂
Onesha ligi ya Kenya ikichezwa usiku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sijui ni nani aliaminisha hawa watanzania that Kenyan stadiums have no lights and can’t host night events😂😂
Sasa unapojichekesha chekesha ukisema CAF standard je co kweli? Utake usitake timu zenu lazima zije Tanzania kucheza mechi za CAF mana kwenu hakuna uwanja uliokidhi vigezo hata ukilia haisaidii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa huyo ng'ombe haoni aibu kupost video ya kuwapa moyo kama hiyo? Yani kwa sasa imefikia hatua watanzania wa kawaida wanapost video alafu inakuwa gumzo ndani ya Kenya, wadada wa watu waliongea tu ukweli wala hawakuwa na bifu na mtu lakini wakenya na inferiority complex yao wame take it serious🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kibinadamu kuomba msamaha ni uungwana ila ukija kwenye uhalisia wa TZ uwa tunawaona kunyan ugly
Dar trenches nyingi sana that's why huwezi pata mafuriko kama slum city isiyokuwa na mitaro kama Nairobi, tulikuwa tunawaambia humu kwamba Nairobi hakuna mitaro wakabisha, nafikiri now wameona umuhimu wa mitaro. Failed state.Mvua haiishi huko maama Dar tumeanza kuonja joto na ukiuliza kulikua na mafuriko unaweza dhani hayajawahi tokea.
Maji yanakaaje kwenye bridge iliyoinuliwa kama hiyo? Hapo urefu wake unapata ghorofa moja, maji yanakaaje hapo? Unadhani Tanzania ni Kenya? Hiyo ni picha ya kutengeneza, ndiyo maana huyo mkenya kaumbuliwa kwa kuwekewa picha halisi.Sijaielewa hii pic wakuu!
Ni kwamba maji yalinyonywa ama vipi?
Unaniangusha bro.Sijaielewa hii pic wakuu!
Ni kwamba maji yalinyonywa ama vipi?
😂😂😂Bado unajifariji kuhusu treni!?SGR gani unaongelea? Ama hile with trains that have speeds lower than Kenyan trains?
😂Running Track inaondolewa Uhuru kuwezesha jukwaa kujengwa na si ushauri wako matope!
Nieleweshe mkuuUnaniangusha bro.
Hahahahaaaaa kauli ya kukata tamaa hii, Tanzania ni footballing nation tunajua viwanja vinatakiwa viwe vipi, viwanja vyenu havina hata taa za kucheza usiku na bado unataka viwe approved, mechi zote mnacheza mchana mbwa nyinyi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kusema ukweli Hawa CAF wana corruption kiplani. Huwezi niambia zizi la ng'ombe kama Azam lina hadhi kuliko Nyayo wakati hata Dandora halifikii. Pale Ug Namboole na Nakivubo wamerenovate wameweka viti ila bado wananyimwa approval. Hapa Kuna mtu akula mlungula.
View attachment 2978366
Ulivyo haya hauna ukachukua pic za Azam complex za zamani ukazileta hapa.CAF Standard Vs Non CAF Standard 😂😂😂
CAF Standard with no seats😂😂
View attachment 2978326
Non CAF Standard have foldable seats😂
View attachment 2978325
FIFA nao wanakula mlungula!?Kusema ukweli Hawa CAF wana corruption kiplani. Huwezi niambia zizi la ng'ombe kama Azam lina hadhi kuliko Nyayo wakati hata Dandora halifikii. Pale Ug Namboole na Nakivubo wamerenovate wameweka viti ila bado wananyimwa approval. Hapa Kuna mtu akula mlungula.
View attachment 2978366
Kasarani current picture alafu kuna mtu analilia iwe CAF standard 👇👇🤣🤣🤣🤣
We fala ni kipi hapo ambacho hakipo!?
Unajua wewe ni msenge sana, haya hiyo hapo mechi ya Yanga vs Al merreikh ya Sudan champions LeagueJust check these conditions alafu uniambie Azam is qualified in which one😂😂.
They don’t have seats for supporters
They have temporary stand which is Prohibited by CAF.
Nimewaambia watuonyeshe report ya CAF wakashindwa which show that Azam Stadium is approved by CAF wakashindwa😂😂
View attachment 2978455