Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi tajiri kama mathalan Uinegreza uliyotaja sababu za multipurpose zinafanya kazi mkuu.
Uingereza michezo ya riadha iko kwa wingi.
Tanzania hata hatukumbuki mwaka gani mwisho ku host hayo mashindano.
Kiwanja kimoja au viwili vinatosha kaka.
Sio kila kiwanja cha serikali kiwe na running track halafu hazitumiki ipasavyo.
Wacha upuuzi! Unataka kututia hasara!
 
Huyu dogo kafanya kazi nzuri sana kwenye hii SGR yetu wakuu, clips zake kuanzia za tiktok na YT zinazidi kutupaisha kimataifa, kiasi flani pia wakundustan walikua wanauhadaa ulimwengu sababu watanzania tulikua hatufunguki kihivyo kupitia international languages kama English, sasa kazi wanayo.


View: https://twitter.com/DavidHundeyin/status/1785267663322656824?t=7NOk5pH7GrxJbEFtJF7RLw&s=19

I wish moto tuliokuwa nao miaka 15 iliyopita kule SSC tungekuwa nao leo, now with some receipts of course.
Geza Ulole NDINDA mnakumbuka? Geza mpaka wakenya wakamtoa dima. Hatari sana...
:D
 
I wish moto tuliokuwa nao miaka 15 iliyopita kule SSC tungekuwa nao leo, now with some receipts of course.
Geza Ulole NDINDA mnakumbuka? Geza mpaka wakenya wakamtoa dima. Hatari sana...
:D
Saivi vita imesambaa kwenye social media zote, halafu zamani ilikua hata ngumu kwa watanzania wengi kuwashawishi kwamba Kenya sio chochote kutokana na mass brainwash waliofanikiwa, kiukweli hata mimi kabla kufika Kenya nilikua nina picture yangu kichwani tofauti sana kuhusu Kenya, walikua wameihype sana tofauti na uhalisia

Kuna watanzania wengi walikua kwenye hizi vita wanakaa upande wa Kenya ila kadri tulivyokua tunawavua nguo taratibu uelewe ukasambaa, saivi hakuna mtanzania anababaika na Kunyaland sababu wamejulikana ni wa hovyo kabisa.
 
Asante kwa kupost picha ya zamani ya Azam complex 🤣🤣🤣🤣🤣
Si wewe ndio ulipost hii picture this month ukisema ni current? Ama sio wewe?😂😂
IMG_0157.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom