Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So let me get this straight. According to Wadanganyika this stadium by the name Azam grazing field in Tanzagiza is CAF approved
View attachment 2978251

but this stadium, Nyayo stadium in Kenya is not CAF approved? Ile bangi watanzania na mama suluhu wanavuta waniazime nivute pia

View attachment 2978258
Jibu ni simple...Azam ni modern stadium while hio uliopost ni ancient outdated old stadium...facilities zilizopo kwenye Azam Complex hilo gofu lenu halina...stadium kama uliyopost huku Tanzania zipo kila mkoa...uwanja hauna hata taa za kuchezesha mechi usiku
 
Kaka Kuna kasumba ya kijinga! Hebu imagine GoT itumie kodi yetu kujenga uwanja wa soccer tu badala ya multipurpose stadium wakati kuna michezo mingi! Hayo matakwa yao nchi zilizoendelea clubs za soccer ndo hufanya hivyo na si viwanja vya serikali!
Uko sahihi Geza, nadhani tusiwe short sighted, Serikali LAZIMA ijenge multipurpose stadiums coz ndio matron wa michezo yote, huwezi juu huko mbele tutakuwa na vipaumbele gani, na inawezekana hiyo michezo haipo sababu hakuna miundombinu ya kutosha, and who knows kwani tukiamua kupeleka All Afrika Games Arusha au Dodoma kuna shida gani? Hoja kwamba hizo carpets zinachakaa na kuweka show mbaya ni suala la maintenance, ni kipi hakichakai then?

Tuko kwenye right running tracks!!
Kazi Iendelee!!
 
Walikuwa wanatamani Talanta to remain on papers just like their Arusha Stadium. Alafu hakuna kitu kinawauma at Talanta Stadium will host both Opening and Final Matches😂😂
Mlileta ujinga kama huu kwenye SGR and we warned you, tulidhani mmejifunza kumbe bado ni vichwa maji? So watch us……..we will be right here wipping your tears and your asses na pilipili…..😅😅😅
 
Mlileta ujinga kama huu kwenye SGR and we warned you, tulidhani mmejifunza kumbe bado ni vichwa maji? So watch us……..we will be right here wipping your tears and your asses na pilipili…..😅😅😅
SGR gani unaongelea? Ama hile with trains that have speeds lower than Kenyan trains?
 
Jibu ni simple...Azam ni modern stadium while hio uliopost ni ancient outdated old stadium...facilities zilizopo kwenye Azam Complex hilo gofu lenu halina...stadium kama uliyopost huku Tanzania zipo kila mkoa...uwanja hauna hata taa za kuchezesha mechi usiku
Modern indeed😂😂😂

Azam has no seats tofauti na za VIP,
Azam has no proper changing rooms compared to Nyayo
Who told you Nyayo stadium have no lights?

IMG_0157.jpeg
 
There’s only one stadium in Tanzania that can be compared to Nyayo Stadium. Ni Makwapa Stadium pekee ndio level ya Nyayo.

As for lights Nyayo has bigger lights than Azam grazing field. All those red masts in the four corners are lights. Lights za Nyayo are brighter than Azam toys.
1714569793814.jpeg
 
View attachment 2978293
Is it approved by CAF or FIFA ??😂😂😂😂 Uwanja ambao unakula renovation after renovation na yet hauna CAF or FIFA standards

Nipe jibu bila kamasi au chzoi
 
And the whole of Kundustan can not host a night match!
 
Nimesikia Kunguru moja akisema ati Nyayo Stadium has no lights.
Is it approved by CAF or FIFA ??😂😂😂😂 Uwanja ambao unakula renovation after renovation na yet hauna CAF or FIFA standards

Nipe jibu bila kamasi au chzoi
Ebu tuonyeshe FIFA standards za Azam😂😂

CAF Standard 😂😂😂
IMG_0157.jpeg

Kenyan Standards

1714572933080.jpeg
 
Back
Top Bottom