Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Sio kila kitu tuige nini wengine wamefanya. Mambo mengine tufanya kufuata demand za wakati. Sioni akili kubwa kwenye kujenga hii mi marathon tracks isiyotumika kama mapambo. Viwanja vyote vya zamani ukiacha Mkwakwani vina hii tracks ya wanariadha serikali wakarabati hivyo na hayo matracks, hivi vipya vibaki kwa kipute tu.Viwanja vya serikali lazma viwe multipupose kama nchi Tajiri zinazingatia hilo, sie nani tupuuze?
Utoto huu, yani wakenya mmekata tamaa dhidi ya watanzania mpaka mmegeuka majokers.Walikuwa wanatamani Talanta to remain on papers just like their Arusha Stadium. Alafu hakuna kitu kinawauma at Talanta Stadium will host both Opening and Final Matches😂😂
pita kuleee si discussion ya level yako hii!Sio kila kitu tuige nini wengine wamefanya. Mambo mengine tufanya kufuata demand za wakati. Sioni akili kubwa kwenye kujenga hii mi marathon tracks isiyotumika kama mapambo. Viwanja vyote vya zamani ukiacha Mkwakwani vina hii tracks ya wanariadha serikali wakarabati hivyo na hayo matracks, hivi vipya vibaki kwa kipute tu.
View attachment 2978464
Alafu hayo ma track yasiyotumika huwa yana gharama kubwa kuya maintain, angalia Mkapa stadium yameingia kutu kabisa, nashauri tuachane na huu ujinga.Sio kila kitu tuige nini wengine wamefanya. Mambo mengine tufanya kufuata demand za wakati. Sioni akili kubwa kwenye kujenga hii mi marathon tracks isiyotumika kama mapambo. Viwanja vyote vya zamani ukiacha Mkwakwani vina hii tracks ya wanariadha serikali wakarabati hivyo na hayo matracks, hivi vipya vibaki kwa kipute tu.
View attachment 2978464
pita kuleee si discussion ya level yako hii!
Sisi tulianza kuyapigia kelele na kuipiga spana serikali mpaka wametuelewa!Alafu hayo ma track yasiyotumika huwa yana gharama kubwa kuya maintain, angalia Mkapa stadium yameingia kutu kabisa, nashauri tuachane na huu ujinga.
Sisi tulianza kuyapigia kelele na kuipiga spana serikali mpaka wametuelewa!
View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1686478760596447232
View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1686480350032101378
Azam Complex hosted CAF CL and CAF CC matches for Yanga vs Altar Sola & vs El Mereikh, Simba vs Power Dynamo and Azam vs Bahir Dar at the start of this season 2023/2024.I’m waiting for any brave Tanzanian to prove for us that this takataka is approved by CAF😂😂
View attachment 2978458
Do you know how many international matches Nyayo has hosted?Azam Complex hosted CAF CL and CAF CC matches for Yanga vs Altar Sola & vs El Mereikh, Simba vs Power Dynamo and Azam vs Bahir Dar at the start of this season 2023/2024.
Kama haikua na CAF Approval ilikuaje hizo mechi zilichezwa hapo. Use common sense acha kuaibisha wakenya.
Sisi tulianza kuyapigia kelele na kuipiga spana serikali mpaka wametuelewa!
View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1686478760596447232
View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1686480350032101378
Some of you celebrated how this YouTuber of yours would expose Nairobi. Here is a video of him exposing Nairobi.
View: https://youtu.be/Ip2T_xEbI9E?si=sAysdKc2imRuJGKH
SGR Terminus is in Syokimau near the border with Machakos County. Westlands is in central Nairobi. The two locations are 25km apart. Stop being useless Geuza.So? Where is flooded Nairobi SGR Terminus?
Hatuna makuu sisi! Hiyo design Mombasa, Kisumu, Eldoret na Isiolo international airports hazioni ndani!
Meanwhile huko JKIA
View: https://twitter.com/Tanzaniawall/status/1785552739897942340