Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1714492341889.jpeg

1714492385455.jpeg
 
Hio dash inaweza kusoma hata 300kph onesha video ikienda hio 200kph. Kuna VW Golf 2.0Fsi dash inasoma 260kph na kuna Nissan Patrol Y62 dash inasoma 240kph. Hio VW haizidi 210kph wakati hio Nissan inamaliza 240kph ndani ya muda mfupi sana. I'm talking from experience!
Huyo anaweza kuweka hata rpm ya fossil engine ukaambiwa speed ni 3000kph 🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom