Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CAF standard Stadium have no seats😂😂😂

1714573391147.jpeg


Kenyan Standard with seats all round the Stadium.

1714573499930.jpeg
 
47 Good Stadiums?

How the Hell Harambee Stars inakosa uwanja wa kutumia mechi za kalenda ya CAF/FIFA?
Nyinyi mko na Stadium moja na unaongea hapa😂😂.

Mkitoa Makwapa Stadium mnabaki na nini?
 
Wapo wanatafuta Mishumaa Wamulike lile dude lao linalovuja kama Maji ya flood kwenye Dump truck 😂😂😂😂😂😂😂


View: https://x.com/larrymadowo/status/1785517433815498789?s=46&t=Zi5vkFm4xkpEoPPWxyTXrw

Aibu Kubwa sana Aibu kubwa sana. Na hakuna watu linawauma na kuwaaibisha kama wale waliokua wanalisifia na kucompare na vya wengine.

Ni Huzuni sana.

Na kiangalia hapo kuna matatizo mengi, uongozi mbovu (Tumeambiwa wana demokrasia na katiba bora), uwanja mbovu (Tumeambiwa ni state of art), shida ya umeme (Tumeambiwa nchi haina shida ya umeme sema ila hadi International Airport for goodness sake Lango la kuingilia kila mtu wa taifa liko giza ziiiii).

So Inauma asikwambie mtu.

Fedheha.
 
Mama Ngina Conspiracy Theory of Neo Slavery

The Mama Ngina Conspiracy Theory of Neo-Slavery posits that there is a covert agenda orchestrated by powerful individuals or groups, possibly including Mama Ngina Kenyatta, to perpetuate a form of modern slavery. This theory often alleges that certain political, economic, or social policies are designed to exploit and oppress certain groups for the benefit of a select few.
 
CAF standard Stadium have no seats😂😂😂

View attachment 2978322

Kenyan Standard with seats all round the Stadium.

View attachment 2978323
Kusema ukweli Hawa CAF wana corruption kiplani. Huwezi niambia zizi la ng'ombe kama Azam lina hadhi kuliko Nyayo wakati hata Dandora halifikii. Pale Ug Namboole na Nakivubo wamerenovate wameweka viti ila bado wananyimwa approval. Hapa Kuna mtu akula mlungula.

images (12).jpeg
 
Nakumbuka kulikua na arguments kati ya ichoboy01 na Teargas juu ya mitaro ya barabara, mwaba Teargas kasema ipo closed up.

Ila hii mvua inaprove tofauti kabisa, hata kama Dar tuliyapata ila maji yalipungua barabarani baada ya mvua kukata. Next day kama hakuna chochote.

Yaani hizi mvua tunaona mengi.

Airport ishakandamizwa milele haitaletwa kwa battle tena maana imeacha kovu.
Broo, kinachofanyika Nairobi ni Elnino, sio bad design. Yafaa ufahamu mafuriko yamefanyika sehemu za mashambani zaidi ya hata Nairobi. Majority ya waliokufa ni wanaoishi ushagoo. Haya mafuriko sio ya kusuluhishwa na drainage.
 
Back
Top Bottom