Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe mpumbavu wa wapi ikija michezo mingine kama ya riadha itafanyika wapi sasa?
Kwanza wewe ndo Mpumbavu , pili itafanyika Arusha, its more profitable Mkapa stadium ikiwa full soccer stadiums kwa kuongeza seats more than 10,000 than having running tracks
 
nakuuliza michezo ya riadha ikija ifanyike wapi? Kwa taarifa yako stadiums ambazo hazina running track huwa mara nyingi ni zile za clubs yaani binafsi! Huyo Msemaji ni mpuuzi nae! Kwahiyo kwako wewe michezo ni soccer tu!?

Wewe Umepotoshwa kama huyo Msemaji japokuwa at least Mkapa Stadium imebaki vilevile! Mambo ya kuondoa track waachiwe wakina Azam na si viwanja vya serikali! Mkapa pale ulipo haujawahi kujaa unataka kuondolewa running tracks kujaza viti ili iweje? Akili za makamasi ni kupenga!

Wembley stadium London
Wembley-Stadium-London.jpg

Olympic stadium Berlin
OlympiaStadium-Berlin-1-Interior.jpg

Stade de France Paris
variant.jpg

Shaghai stadium
shanghai_stadium44.jpeg

Beijing National stadium (Bird's nest)
asia-china-beijing-national-stadium-internal-structure-audience-stand-bird-s-nest-olympic-main-interior-63815994.jpg

Usi-cram mambo kwa vile kila weekend unaangalia Premium league! Mechi huchezwa viwanja binafsi vya clubs kule! na kumbuka pale Uhuru nafasi hamna kama wanataka kujenga jukwaa upande wa pili inabidi running track iondolewe!
 
Hii ikifanyika itakaa poa sana,hakuna haja ya running tracks kwenye dunia ya sasa ambayo inakuwa included nafootball pitch.........Ila hii AFCON kutokuipeleka Mwanza nahisi wanataka kututenga sana sisi watu wa Lake zone

MyTake;kuna vile viwanja vya ccm vimejaa nchi nzima,kwanini gavoo wasivichukue waviboreshe,nahisi pesa haitakuwa kubwa kiasi hicho
Kama tungekuwa tuna host wenyewe na sio EA , am sure Mwanza ingechaguliwa
1.Dar ni lazima iwe picked. Commercial capital , More training stadiums( Karume, Boko, Azam Complex)
2. Zanzibar Lazima iwe picked- Hotels, Plus ni United republic , plus more touristic city
3.Arusha vs Mwanza , I think ni Arusha ina hotels plus, International airport, ipo karibu na Moshi , Ngorongoro etc, Mwanza is more of business than touristic city , so Arusha ikashinda
4. Kwenye Dodoma vs Mwanza , nafikiri Issue ni Capital city, inagwa sidhani kama imezidi mwanza kwa hotels, lakini SGR kufika Dodoma pia itaipa nafasi
 
na pia mpaka hiyo 2027 Msalato itakuwa tayari na kuna hotel kadhaa zinajengwa!
 
nakuuliza michezo ya riadha ikija ifanyike wapi? Kwa taarifa yako stadiums ambazo hazina running track huwa mara nyingi ni zile za clubs yaani binafsi! Huyo Msemaji ni mpuuzi nae! Kwahiyo kwako wewe michezo ni soccer tu!?

Wewe ni mpumbavu kama huyo Msemaji japokuwa at least Mkapa Stadium imebaki vilevile! Mambo ya kuondoa track waachiwe wakina Azam na si viwanja vya serikali! Mkapa pale ulipo haujawahi kujaa unataka kuondolewa running tracks kujaza viti ili iweje? Akili za makamasi ni kupenga!

Wembley stadium London
Wembley-Stadium-London.jpg

Olympic stadium Berlin
OlympiaStadium-Berlin-1-Interior.jpg

Stade de France Paris
variant.jpg

Usi-cram mambo kwa vile kila weekend unaangalia Premium league!
Nimekuelewa Geza , Mkapa ulijengwa kuwa na Olympic standards ili ku host various games so am not really against it 100% , ninachosema ni in profit point of view it would have been better ingekuwa na seats . Cause haihost other games as compared to football.
Itachukua muda kuona Tz tunapata soccer stadiums .Labda Yanga na Simba wajitutumue
Nikupe mfano in a New Dodoma Stadium , utatamani nao uwe na running tracks?
Angalia soccer city ? Joburg FNB Stadium
 
sasa michezo ya riadha tutaweka wapi? Mkapa ni multipurpose stadium! Si sawa kuiga viwanja vya clubs za Ulaya! Simba na Yanga na club nyingine wana haki ya kujenga unavyotaka maana wao michezo yao ni soccer! Hivyo viwanja hapo vinaongoza duniani kwa uzuri na vina running trucks kwa vile si vya clubs na ni kwa ajili ya michezo yoote ukiacha soccer! Elewa hilo!
 
Hakuna picha yangu humu ambayo sijapost mwenyewe. Ukitaka kuona picha zangu rydi nyuma kwa post zangu utaziona. Endeleeni kujifurahisha.
Halafu hao mademu wenu wenyewe mikorogo tupu na make-up layers kama mia alafu bado wanaongelea natural beauty.😂
Kwahiyo unataka kujilinganisha na watanzania kwa uzuri, serious?
 
Nimekuelewa Geza , Mkapa ulijengwa kuwa na Olympic standards ili ku host various games so am not really against it 100% , ninachosema ni in profit point of view it would have been better ingekuwa na seats . Cause haihost other games as compared to football.
Itachukua muda kuona Tz tunapata soccer stadiums .Labda Yanga na Simba wajitutumue
Nikupe mfano in a New Dodoma Stadium , utatamani nao uwe na running tracks?
Angalia soccer city ? Joburg FNB Stadium
Government ni custodian wa games zote nchini hivyo viwanja vyao lazima viwe vya Olympic standards klabu za football ndio hawahitaji running tracks kwasababu their business is strictly football.
 
Back
Top Bottom