Shoddy contracting hazina proper drainage systems ku mitigate flood water.Kwanza Airport zinaanzaje kua flooded huko na sio huku?
Shoddy contracting hazina proper drainage systems ku mitigate flood water.Kwanza Airport zinaanzaje kua flooded huko na sio huku?
Inferiority Complex. They like to be the center of attention.Hawa watu bana. Rais wetu akienda nchi yao, wanajisifu. Rais wao akija nchi yetu, wanajisifu. Hawa walirogwa.😂😂
Inferiority Complex. They like to be the center of attention.Hawa watu bana. Rais wetu akienda nchi yao, wanajisifu. Rais wao akija nchi yetu, wanajisifu. Hawa walirogwa.😂😂
Kuna kitu kinaitwa preserved architecture. KICC ni jengo ambalo limepata award nyingi kwa design yake ya kipekee. Ni miongoni mwa majengo ya Nairobi ambayo ni historical sites ambayo hayawezi bomolewa. Ukimodify hili jengo, utaaribu design yake ya mwanzo ndio maana lipo jinsi lilivyo na bado ndio the most respected conference center in East Africa na pia one of the best in Africa. Hivyo viti vipo jinsi vilivyo sababu tumetaka viwe hivo. Najua nyinyi watu wa kushobokea blue glass buildings hamwezi elewa maana ya preserved architecture.So hivyo viti havihamishiki ama vimechongewa hapo toka 1969? 🤣🤣🤣
Nyinyi mtabaki kuwa nyuma... wakati bado mnapanga kujenga wakenya wanamalizia..
View attachment 2976750
View: https://www.youtube.com/watch?v=tA5yyJxLO84
View: https://www.youtube.com/watch?v=GXLweSrtBdI
Wako humu wanajisifu kisa Rais wao yuko Nairobi?Waambie Nairobi is the center of Conferences in East Africa. If they have better conference facilities then why didn’t they host the event?
Waambie KICC is a 28 floor building with every floor having a Conference hall.Kuna kitu kinaitwa preserved architecture. KICC ni jengo ambalo limepata award nyingi kwa design yake ya kipekee. Ni miongoni mwa majengo ya Nairobi ambayo ni historical sites ambayo hayawezi bomolewa. Ukimodify hili jengo, utaaribu design yake ya mwanzo ndio maana lipo jinsi lilivyo na bado ndio the most respected conference center in East Africa na pia one of the best in Africa. Hivyo viti vipo jinsi vilivyo sababu tumetaka viwe hivo. Najua nyinyi watu wa kushobokea blue glass buildings hamwezi elewa maana ya preserved architecture.
Myopic thinking at its best 🤣🤣🤣Kuna kitu kinaitwa preserved architecture. KICC ni jengo ambalo limepata award nyingi kwa design yake ya kipekee. Ni miongoni mwa majengo ya Nairobi ambayo ni historical sites ambayo hayawezi bomolewa. Ukimodify hili jengo, utaaribu design yake ya mwanzo ndio maana lipo jinsi lilivyo na bado ndio the most respected conference center in East Africa na pia one of the best in Africa. Hivyo viti vipo jinsi vilivyo sababu tumetaka viwe hivo. Najua nyinyi watu wa kushobokea blue glass buildings hamwezi elewa maana ya preserved architecture.
Nimeona Yule jamaa mchafu NDINDA akipost wengine sijui wale ni akina nani? Vile wamefurahi kuona viongozi wao Nairobi ungedhani wako UK. Na nikisema Nairobi ni kama London kwa watanzania wanaona vibaya😂😂Wako humu wanajisifu kisa Rais wao yuko Nairobi?
Wakenya buana sasa huyu mwanamke ameenda kuwag the wig lake la Peruvian au kwenda kutackle the mess, serikali yenu inasuburi mfe kwanza mjiokoe, mjizike na msahau wenyewe ndio ije kuwachora 🚮
View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1784896873888719318?t=2L52ktvYiXcxljyfOjHGuQ&s=19
Sasa mbona hapa unajielezea wewe.? 🤣🤣🤣Inferiority Complex. They like to be the center of attention.
Hawajui KICC inaweza host basketball matches, tennis matches, conferences, music concerts, exams, political rallies na bado ina maofisi. Hawa wanaskianga tu KICC.Waambie KICC is a 28 floor building with every floor having a Conference hall.
Another KICC setup that no Tanzanian conference hall can match.
View attachment 2976813
View attachment 2976814
Usihamishe magoli kijana. Tunaogelea viti kufunikwa na shuka 😀 😀 😀 😀Hawajui KICC inaweza host basketball matches, tennis matches, conferences, music concerts, exams, political rallies na bado ina maofisi. Hawa wanaskianga tu KICC.
Yani wamemfuatilia kama upuzi. Video Kila mahali akishuka JKIA. Meanwhile Ruto akiwa huko hata Mimi nimejulia kwa hii thread.😂😂😂Nimeona Yule jamaa mchafu NDINDA akipost wengine sijui wale ni akina nani? Vile wamefurahi kuona viongozi wao Nairobi ungedhani wako UK. Na nikisema Nairobi ni kama London kwa watanzania wanaona vibaya😂😂
Huo wimbo umepitwa na wakati🙂Inferiority Complex…
Mt kilimanjaro imetúmika hapo juu SGR passes through tsavo amboseli ecosystem na Iko very visible.
Hadi boxing matches zinakuwa hosted at KICC.Hawajui KICC inaweza host basketball matches, tennis matches, conferences, music concerts, exams, political rallies na bado ina maofisi. Hawa wanaskianga tu KICC.
Utakuwa umeshazeeka sana au utakuwa umeshakufa🙂…Next time Nairobi Addis sgr ikijengwa expect to see mt Kenya ,…