Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,817
I stay just a few steps from here. At Mirema Drive
I stay just a few steps from here. At Mirema Drive
Unatulazimisha?🙂…Watanzania Najua wanaumia
Hao wajensi hawajawai tumia protractor. 🤣 🤣 🤣
Ur speedometer is analogue!The word is analogue you idiot. Analogy my foot.
Alafu wanakuambia ati ni CAF approved.😂😂😂.Hao wajensi hawajawai tumia protractor. 🤣 🤣 🤣
Nenda ukawalilie CAF, sisi hatuna muda wa kujielezea kwako wewe, mnuka mavi. 🤣🤣🤣
Hutaki kajinyonge CAF ndio washasema hivyo.
Huyo anaweza kuweka hata rpm ya fossil engine ukaambiwa speed ni 3000kph 🤣🤣🤣Hio dash inaweza kusoma hata 300kph onesha video ikienda hio 200kph. Kuna VW Golf 2.0Fsi dash inasoma 260kph na kuna Nissan Patrol Y62 dash inasoma 240kph. Hio VW haizidi 210kph wakati hio Nissan inamaliza 240kph ndani ya muda mfupi sana. I'm talking from experience!
Vitu brand new hivyo sio zile scrapper zinazoanguka zenyewe.
Wivu.Yaani jirani akipata kamradi kamoja kelele huwa nyingi eti daily dose baada ya mradi huu mradi mwingine mkubwa utakuja 2035.
Maskini akipata matako hulia mbwata 🤣🤣🤣
Naskia ujenzi uwanja wa Dodoma upo mbioni pia, kweli? Au changa la macho la Msigwa?Yaani jirani akipata kamradi kamoja kelele huwa nyingi eti daily dose baada ya mradi huu mradi mwingine mkubwa utakuja 2035.
Maskini akipata matako hulia mbwata 🤣🤣🤣
Wa Arusha hamjaanza mnaongelea Dodoma.Naskia ujenzi uwanja wa Dodoma upo mbioni pia, kweli? Au changa la macho la Msigwa?
Mkandarasi yupo site Arusha!Wa Arusha hamjaanza mnaongelea Dodoma.
Tuonyeshe video wakifanya kazi😂😂Mkandarasi yupo site Arusha!
Ushaabadilisha mada tena? Ebu nionyeshe hiyo Kijabe Dam pia Mimi nataka kuiona.😂😂