The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Moja kati ya station bora zaidi Africa, kama China mwanangu โค๏ธ โค๏ธ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐น๐ฟ ๐น๐ฟ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ
Daily dose
Pale Talanta chuma za nguzo zishaanza kufungwa. Hivi uwanja wa Arusha umefikia wapi?๐๐
View: https://www.instagram.com/reel/C6Ye-xoIkTE/?igsh=MWF0NmVlNm15dTFndA==
๐๐๐๐๐๐๐
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1785142805184045564?t=pex8vrXrMyRLN-E7lXSv4Q&s=19
Analogy speedometer!
The word is analogue you idiot. Analogy my foot.Analogy speedometer!
Yes treni lao la SGR linatumia masaa sita kutoka Nairobi hadi Mombasa...ushahidi ni hii video hapa chini mkenya mwenzao kasema wametumia masaa sita hapo dakika ya 3:26Leta video imefika 200 mm nifunge ACC forever ๐ ๐ ๐ ๐ ikiwa Mombasa to Nairobi 470km inachukua 6 hours ni sawa na average ya 80km/hr lini ilifika 200km na lini itafika hio speed
CAF approved Stadium ๐๐๐Tanzania huiwezi kwenye soccer mkuu, we plan to build 4 new stadia, Mkapa (renovation), Uhuru (renovation), Arusha, na Dodoma. Mind you we also have Amani stadium and Azam complex, both are CAF approved stadia, ni matusi Kenya kujilinganisha na Tanzania kwenye soccer facilities.
Yes treni lao la SGR linatumia masaa sita kutoka Nairobi hadi Mombasa...ushahidi ni hii video hapa chini mkenya mwenzao kasema wametumia masaa sita hapo dakika ya 3:26
View: https://youtu.be/1x-uOPEQ8nE