Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mjinga akiongea ujinga alafu ashangiliwe na wajinga wenzake ndio kuumbuliwa eti?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimesema Kelis yuko Kenya na amesema yuko kwa farm ya rafiki yake. Yeye anapinga kwa kupost Kelis akiwa Tanzania miezi ya nyuma. Sasa hiyo ndio kuumbuliwa? πŸ˜‚πŸ˜‚
Anayejitafutia umuhimu ni nani?

Kelis yuko Kenya ama hayuko? Katembelea farm ya mwenzake ama hakuitembekea? Alafu wewe mwenyewe umeenda ukacomment kwa hiyo post akiwa Kenya kwa farm ya rafiki wake na bado ushangilia upumbavu wa huyo mgagaa sijui nani akipinga. Yani humu mnashangilia hata mtu akijipaka mavi Bora aseme kitu negati kuhusu Kenya.


πŸ˜‚πŸ˜‚ Usione nimeacha wajinga washerehekee ujinga ukaona nimeshindwa.
Leta evidence kuna mashamba pia Kilimanjaro West yenye view ya Mt Kilimanjaro!
 
Hii ikifanyika itakaa poa sana,hakuna haja ya running tracks kwenye dunia ya sasa ambayo inakuwa included nafootball pitch.........Ila hii AFCON kutokuipeleka Mwanza nahisi wanataka kututenga sana sisi watu wa Lake zone

MyTake;kuna vile viwanja vya ccm vimejaa nchi nzima,kwanini gavoo wasivichukue waviboreshe,nahisi pesa haitakuwa kubwa kiasi hicho
Acha ukabila mzee Je na watu wa mbeya wenye timu nyingi za michezo wasemaje?
 
Hvi ndivo mpaka 2025 Tanzania itauza umeme nje ya nchi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Screenshots_2024-04-29-08-04-40.png
 
Back
Top Bottom