Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FB_IMG_1714422821263.jpg
FB_IMG_1714422824080.jpg
FB_IMG_1714422827524.jpg
 
We maku acha uongo eti kelis yuko kunyaland,eti kasema yuko kwa farm wa rafiki yake,kelis alikuwepo africa miezi kadhaa iliyopita,na hakuna nchi iliyomvutia africa kama Tanzania,usijipe umuhimu na ako kanchi kenu kachafu,video hizo hapo kelis alipokua TZ,amevutiwa na vitu vingi TZ na ndio alpokua huko kwenu akawa bado anaonyesha feeling zake kwa mt kilimanjaro,alipokua moshi kafika hadi kwenye mashamba ya kahawa so tuseme mashamba ya rafiki zake?
Wewe mpumbavu NairobiWalker angalia unavyoumbuliwa!
 
Wewe mpumbavu NairobiWalker angalia unavyoumbuliwa!
Sasa mjinga akiongea ujinga alafu ashangiliwe na wajinga wenzake ndio kuumbuliwa eti?😂😂😂
Nimesema Kelis yuko Kenya na amesema yuko kwa farm ya rafiki yake. Yeye anapinga kwa kupost Kelis akiwa Tanzania miezi ya nyuma. Sasa hiyo ndio kuumbuliwa? 😂😂
Anayejitafutia umuhimu ni nani?

Kelis yuko Kenya ama hayuko? Katembelea farm ya mwenzake ama hakuitembekea? Alafu wewe mwenyewe umeenda ukacomment kwa hiyo post akiwa Kenya kwa farm ya rafiki wake na bado unashangilia upumbavu wa huyo mgagaa sijui nani akipinga. Yani humu mtashangilia hata mtu akijipaka mavi Bora aseme kitu negative kuhusu Kenya.


😂😂 Usione nimeacha wajinga washerehekee ujinga ukaona nimeshindwa.
 
Ukiangalia picha za NairobiWalker na Teargas kuna ukweli na wanachosema wadada!
Hakuna picha yangu humu ambayo sijapost mwenyewe. Ukitaka kuona picha zangu rydi nyuma kwa post zangu utaziona. Endeleeni kujifurahisha.
Halafu hao mademu wenu wenyewe mikorogo tupu na make-up layers kama mia alafu bado wanaongelea natural beauty.😂
 
Sasa mjinga akiongea ujinga alafu ashangiliwe na wajinga wenzake ndio kuumbuliwa eti?😂😂😂
Nimesema Kelis yuko Kenya na amesema yuko kwa farm ya rafiki yake. Yeye anapinga kwa kupost Kelis akiwa Tanzania miezi ya nyuma. Sasa hiyo ndio kuumbuliwa? 😂😂
Anayejitafutia umuhimu ni nani?

Kelis yuko Kenya ama hayuko? Katembelea farm ya mwenzake ama hakuitembekea? Alafu wewe mwenyewe umeenda ukacomment kwa hiyo post akiwa Kenya kwa farm ya rafiki wake na bado ushangilia upumbavu wa huyo mgagaa sijui nani akipinga. Yani humu mnashangilia hata mtu akijipaka mavi Bora aseme kitu negati kuhusu Kenya.


😂😂 Usione nimeacha wajinga washerehekee ujinga ukaona nimeshindwa.
Unaandika maneno meengi sana. Comments huwa fupi fupi. Weka facts kama wanavyofanya watanzania.
 
Back
Top Bottom