Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,215
Hizi unakuta Kahama huko..Simba gate mall let me look for more photos its probably 10000 sq m shopping
Hizi unakuta Kahama huko..Simba gate mall let me look for more photos its probably 10000 sq m shopping
Imaging.unaota saizi tuko 2017Narudia tena usifananishe dar na ujinga wa Mombasa ,Mombasa level yake ni Zanzibar
Cheki cbd ya Mombasa ilivyo contain cheap old similar dwarf buildings smh!,yaani upanga inachapa Mombasa yote
Eti sijui kiswahili punguza husuda kijana ,Kiswahili ndio lugha yangu ondoa shakaKwenda uko atakiswahili hujui na Wewe mtz .....na bytha Niko msa
Lala tu dogo Mombasa hamna cha ajabu almost like BujumburaImaging.unaota saizi tuko 2017
Dar kunanini yah maana kama c beach........ata izo bongo..movie zenyu my.like. kuitaja msa.....Alafu unadai ati cinjui.Bujumbura.......... Kijana wake up...msa UCI.idharauLala tu dogo Mombasa hamna cha ajabu almost like Bujumbura
Naijua Mombasa vizuri ndio maana nazungumza usitake kunikaririsha mawazo yako .Hebu tembea ujionee sio kukaakaa kwenye hilo ligofu ukadhani umefikaDar kunanini yah maana kama c beach........ata izo bongo..movie zenyu my.like. kuitaja msa.....Alafu unadai ati cinjui.Bujumbura.......... Kijana wake up...msa UCI.idharau
Sawa basi. Uclinganishe msa naizo .town yenyu.expect dar slum.....am here to defend mombasaNaijua Mombasa vizuri ndio maana nazungumza usitake kunikaririsha mawazo yako .Hebu tembea ujionee sio kukaakaa kwenye hilo ligofu ukadhani umefika
Hii sio ile tanzania ya 90s mliokua munaiwaza hii ni tanzania ya 2017 my friend nchi imejengwa kimyakimya na inaendelea kujengwa kimya kimya, watanzania sio watu wa sifa ila safarii hii tanzania inawapumulia kisogoni hakuna sehemu mutatoboa😀😀😀😀Sawa basi. Uclinganishe msa naizo .town yenyu.expect dar slum.....am here to defend mombasa
asante kwa maoni yako.Asante kwa kukubali ukweli unaodhihirika kwamba kwa sasa, Dar haifikii Nairobi. kongole sana hapo. Ingekuwa jambo la busara sana kama wabongo wenzako pia wangekubali huu ukweli, ingawa mcungu. Pili, nakupongeza pia kwa kuongea ungeli kwamba Dar inakuwa kwa kasi sana na kwamba it's one of the cities to watch here in Africa in matters development. Though nakukosoa unaposema kwamba Dar huenda ikafikia Nrb na hata kuipita kwa sababu nrb pia inazidi kuwa na mandeleo kila kuchao.
kama unaongea kuhusu area kisumu ina area kubwa kuliko dar,sababu kisumu na Nakuru ni counties kama Nairobi tuMm ntakupa lecture ndogo sana ukubwa wa dar urban city is 1590 km sq, so
Nairobi = 696 km sq
Msa = 260 km sq
Kisumu = 110km sq
Nakuru = 50km sq
Eldoret = 30km sq
So add those figure tuone unapata ngapi dhidi ya dar
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Remb numbers dont lie
Devolution huku kulikuwa nayo katika miaka ya 1970s, tulikua inajulikana kama Madaraka mikoani, ilisaidia sana kusambaza huduma mikoani, ila pesa nyingi ya serikali ilipotea sana, tukaachana nayo, hicho sio kitu kipya na wala msitegemee maajabu..Ganda la mua wa jana, chungu kaona mavuno.Pia c.tuku 2017.......Alafu kuna devolution...... We.haven't sleep my friend
ni kweli dar haifikii nairobi hilo halina ubishi na wala hakuna mtz anayebisha.
ila jambo moja muhimu ni kwamba with rapid changes that we have been witnessing within a short time,dar is catching up very fast,dar ipo katika progress nzuri ya kuifikia nairobi na hata kuipita.
hapo ndio kwenye mantiki ya mjadala huu. na katika mantiki hiyohiyo,ndio sababu unaona wakenya karibia wote wa jf wame-shift concentration yao yote kwenye thread hii kuliko thead yoyote hapa jf maana tayari dar ina-click katika bongo zao.dar inawapa hofu.
na katika mantiki hiyo hiyo, kumefanya thread hii kuwa moja kati ya thread bora inayofatiliwa sana na wasomaji kiasi cha kuwa na namba kubwa ya views kuzidi thread yoyote iliyowahi kuanzishwa katika jukwaa la kenyaforum.
![]()
kwa mantiki hiyo hiyo ndio kuna fanya thread hii iwe ina-trend kwa mwaka mzima tangu alipoanzishwa mwezi january 2017.Nina hakika ita-trend mwaka wote wa 2018.
haya yote ni kwasababu dar ni game changer...dar ndio imefanya hii thread ifike hapa ilipo...hata wewe mwenyewe una-comment hapa kwasababu in one way or the other, you are being influenced by dar...so usiidharau dar "msee"
Hapa ni Nairobi vs Dsm wewe unaleta figures za Tz vs Kenya. Hukuweza hata kuelewa hilo jambo dogo?Majengo na uzuri ushafail tayari alaf ukitaka habari ya uchumi generally hii hapa chini 55b vs 51.3b so utaona tofaut hapo, akili kichwani mwako😀😀
View attachment 642642
Uwezo wako wa kufikiri ndiyo umeishia hapo? What a pity...Endelea kujifariji, tumekwishawazoea. Unajifanya Mtanzania wakati in Mkenya, kwani ukisema ukweli utachekwa?...
Endelea kujifariji, tumekwishawazoea. Unajifanya Mtanzania wakati in Mkenya, kwani ukisema ukweli utachekwa?...
Mchezo wa watani wa jadi hautaki uwe na hasiraHaya Dar imeipita Nairobi kwa kila kitu kwa miaka elfu 50 mbele. Umejisikia vizuri sasa?
Kadoda wengi hapa wanacomnent kishabiki kama vile mtifuano wa Simba vs Yanga. Kama wangekuwa na mtazamo kama wako huu mjadala ungesaidia sana watu kuelewa maendeleo na changamoto za hii miji yetu.
Sidhani kama wengi wana uelewa kama wako au hata wanauchukulia huu mjadala kwa mawazo kama uliyotoa hapo juu.
Adios....
Uwezo wako wa kufikiri ndiyo umeishia hapo? What a pity...
Mombasa ina more than 20floor Alafu munalinganisha na .c.jui mwanza..


..so the greatness of the city is about ..the number of 20flr + buildings ...kwa hyo Naorobi itashindana na London ..kama ikija kuipata pinnacle ..cause pinnacle ni 300m tower ???? ..kwanza hyo 20flr mnaweza mkawa nayo moja tu 



..kwa picha mlizotuma mombasa ni kariakoo ya 2010DdddddHehehe aisee 😀😀😀😀😀😀
usitaje hicho kijiji tena hapaHizi unakuta Kahama huko..