mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Mombasa ina more than 20floor Alafu munalinganisha na .c.jui mwanza..
Tutajie moja baada ya moja leo umekuja patamu sana😀😀😀😀😀😀😀 Sitakuacha leo nitajie moja baada ya mojaMombasa ina more than 20floor Alafu munalinganisha na .c.jui mwanza..
Kama kweli wewe Unaakili kichwanihawa ndio watanzania walio na ardhi yao na utajiri wao..Pwahahaha..this pic though
![]()
![]()
Nakusubiria wewe kaka nataka leo unitajie moja baada ya moja leo umeingia kwenye 18 mwenyewe😀😀😀Mombasa ina more than 20floor Alafu munalinganisha na .c.jui mwanza..
Enhee safi 10 underconstruction haya tutajie tafadhalikwanza kumi under construction
Ur sickYou guys castigate but you won't bring any aerial view of your towns and cities
Kwanza nilikua sijakukaribisha jamii forum karibu sana mgeni 😀😀😀😀 endeleeni kufungua account mpya kila siku sisi tutawakaribishaKwanza.nicrest,.alpha.kizingo.Sheena.krestle.na.kadhalika
HaHaha mji mkongwe huo oooza kumbe ndio maana mnahide...Mombasa
![]()
umnishangaza kuleta upuuzi huku na kujivunia...sasa mpiga picha wa Azam akiwa Machakos ni maajabu kwako sio?😀😀wapo hata wa CNN na BBCroho inakuuma....![]()
![]()
![]()
![]()
leta picha za Mwanza ndugu...😀😀😀 mji wenu wa Pili..pwahahahaHaHaha mji mkongwe huo oooza kumbe ndio maana mnahide...
Tuletee jengo na picha yake tunataka tuanzie hapoKwanza.nicrest,.alpha.kizingo.Sheena.krestle.na.kadhalika
Hahaha uuwihasira hasara ndugu...leta picha upate adhabu yako ukalale
![]()
![]()


Marina again😀😀😀😀unajua kila mtu anaweza kupayuka payuka...leta picha zizungumze...sio ujinga wako hapa...kula hii kwanza ushibe...mji wa Mombasa...mji wa pili....mji wenu wa pili naskia ni Mwanza...pwahahaha
![]()
Hii ndio mombasa😀😀😀 bila filterMombasa hii hapa...mlete picha za dar sasa tuiadhibu
![]()
Mwanza watapost wadau bana,aki mombasa ni mji mkongwe kweli panafaa kwa tourism izo nyumba kama hazikujengwa 1800's sijuileta picha za Mwanza ndugu...😀😀😀 mji wenu wa Pili..pwahahaha