mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Nyinyi na sisi nani ana iga.........Jaribuni kujinasua toka katika mawazo ya kitumwa ya kuiga kila kitu toka kwa wazungu, kuanzia lugha, mfumo wa uongozi, hadi kunya.
Nyinyi na sisi nani ana iga.........Jaribuni kujinasua toka katika mawazo ya kitumwa ya kuiga kila kitu toka kwa wazungu, kuanzia lugha, mfumo wa uongozi, hadi kunya.
Nakuru pu.....600000.......county. ..1.7mOver 400k Dodoma, Arusha, Mbeya
300k- 400k Morogoro, Tanga, Kahama
200k- 300k Kigoma, Zanzibar, Sumbawanga, Songea, Moshi
100k- 200k Musoma, Bukoba, Shinyanga, Iringa, Kibaha, Mtwara, Bukoba nk.
Nipe population ya Nakuru.
Gani....izo......juu....including... Msa.Kampala.na kigaliTukiweka ushabiki pembeni kwa mipango iliopo mezani Nadhani soon tunaweza kua na miji mikubwa miwili ukanda huu yenye heshima isioyakinafiki kimataifa!!
Iyo ni 2007....acha upuziTatizo lako wewe bado ni mshamba. Nakuru ipo na population ya watu 307,990 wakati Morogoro Tanzania ni 315,866.
Sasa nakushangaa unapiga domo tu hapa. Huna uwezo wa kujadili na sisi wewe. Bado wewe ni mdogo sana.
Hivi hayo ni yale magofu ya allepo au
Sidhan kama yanaweza match,mayb ...Gani....izo......juu....including... Msa.Kampala.na kigali
Are you sure?! Au unadhani wote hapa watoto?! I have worked on a designing project in north kenya..turkana. So I know kenya statistics... Maana mnatuletea nyie wenyewe...Nakuru pu.....600000.......county. ..1.7m
Halafu usitudanganye kuhusu population ya NakuruIyo ni 2007....acha upuzi
Kila nchi na utaratibu wake huwezi lazimisha tuige toka kwenuUko hamna senator wala governor l......sijui ni.district Alafu munasema mko 2017.........
Ati. 250k....argue with facts jamaaAre you sure?! Au unadhani wote hapa watoto?! I have worked on a designing project in north kenya..turkana. So I know kenya statistics... Maana mnatuletea nyie wenyewe...
We did receive a delegate from Kiambu County looking for investment 2years back and they did provide us with enough statistics,.
Hiyo Nakuru hata 250k sijui kama inafika.. Let alone 600k.. Kama unataka tuhadiliane acha kuniletea uongo.. I hate that.. Maana unaniona mtoto..na kwa mtu mzima hilo ni tusi.
Between kisumu and Nakuru which is a larger city?Ati. 250k....argue with facts jamaa
Kisumu..Between kisumu and Nakuru which is a larger city?
Mukichanuka mutaiga.2Kila nchi na utaratibu wake huwezi lazimisha tuige toka kwenu
And what is the population of kisumu? Bear it mind.. Kampala is the largest city followed by Mwanza city..which is hardly 800k people.Kisumu..
Dogo hebu uwe serious na mambo yako.Kisumu..
Huo ni utoto tu unawasumbua mkikua mtaacha. Hakuna atakae kutoa utwumwani ila wewe mwenyeweMukichanuka mutaiga.2