Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
ndugu Dodoma pale ni kama Garissa tu...nje ya Dar hamna maendeleo yoyote...vichaka tupu na wanyama poriHawa bongolala me huwa naskia Dodoma na dar .izo zingine..na kidogo arusha juu ya EAC izo.zingene kabori
mwache huyo bongolala...hajui GDP ya Nairobi peke yake karibu GDP ya tz nzima...Jiji tajiri sana....u.don't know anything
Kaka hiyo ni "my country whether right or wrong" ila kaka dsm haiifiki nai tuache ushabiki wa manzese. Najua umekaa Nai unafahamundg. kinyungu karibu katika thread ya ma-genius....naona umekurupuka kuchagua upande wa adui.
dar es salaam till i die by hook or by crook.
Haifikii kwa kipi? Ukubwa? Uzuri? Majengo? Au nini! Be specific...Kaka hiyo ni "my country whether right or wrong" ila kaka dsm haiifiki nai tuache ushabiki wa manzese. Najua umekaa Nai unafahamu
Haifikii kwa kipi? Ukubwa? Uzuri? Majengo? Au nini! Be specific...
Where are they????😀😀😀😀East Africa's tallest building inakimbia kwel kwel...kwa mwendo huu 2019 inaonekana tutakuwa na majengo 9 refu kabisa ukanda huu kisha hio TPA inakuja nambari 10...
![]()
Tajiri kwenye slums yani robo tatu ya nairobi inaishi kwenye vibanda hata nguruwe hawez kuish😀😀Jiji tajiri sana....u.don't know anything
😀😀😀 Ukweli uko hapa chinimwache huyo bongolala...hajui GDP ya Nairobi peke yake karibu GDP ya tz nzima...![]()
![]()
Kila ki2
Jiji tajiri sana....u.don't know anything
Iyo concrete house ni flr ngap
Utajiri wa nini funguka😀😀😀😀Kila ki2
Jiji tajiri sana....u.don't know anything
Uzuri na hata majengo na hata uchumiHaifikii kwa kipi? Ukubwa? Uzuri? Majengo? Au nini! Be specific...
Mwenzako collo alikiri juu ya dodoma 😀😀😀ndugu Dodoma pale ni kama Garissa tu...nje ya Dar hamna maendeleo yoyote...vichaka tupu na wanyama pori![]()
![]()
![]()
Majengo na uzuri ushafail tayari alaf ukitaka habari ya uchumi generally hii hapa chini 55b vs 51.3b so utaona tofaut hapo, akili kichwani mwako😀😀Uzuri na hata majengo na hata uchumi
Hmm! Kaazi kwelikweli...Kila ki2
Jiji tajiri sana....u.don't know anything
Endelea kujifariji, tumekwishawazoea. Unajifanya Mtanzania wakati in Mkenya, kwani ukisema ukweli utachekwa?...Uzuri na hata majengo na hata uchumi
Huyo jamaa ni Mkenya halafu anajifanya Mtanzania. Wameshaanza kuukana uraia wao...Majengo na uzuri ushafail tayari alaf ukitaka habari ya uchumi generally hii hapa chini 55b vs 51.3b so utaona tofaut hapo, akili kichwani mwako😀😀
View attachment 642642
Huyo jamaa ni Mkenya halafu anajifanya Mtanzania. Wameshaanza kuukana uraia wao...