Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
mwenzao kawaambia ukweli mtupu wameshaanza kumbandika majina
eti huyo mkenya kafungua account mpya
Picha ya 2009
![]()
![]()
pole sana bishop fake kabisa...ina maana bongolala wenzako hawawezi wakaisifu Nairobi? lazma tu iwe ni mkenya anajifanya mtz?![]()
huna point useless bishop...jitayarishe kesho jumapili ukale sadaka za wakristo kule![]()
mfanye google we rafiki wako wa karibu.Iyo concrete house ni flr ngap
Huna lolotemfanye google we rafiki wako wa karibu.
..maswali ya kijinga peleka pale------------------------------------------------------------->![]()
umepata picha lakini?
Isije ikawa ni ID yako, tumeshawazoea...![]()
![]()
pole sana bishop fake kabisa...ina maana bongolala wenzako hawawezi wakaisifu Nairobi? lazma tu iwe ni mkenya anajifanya mtz?![]()
huna point useless bishop...jitayarishe kesho jumapili ukale sadaka za wakristo kule![]()
Kwa povu tu mko vizuri...mwenzao kawaambia ukweli mtupu wameshaanza kumbandika majina![]()
eti huyo mkenya kafungua account mpya![]()
Isije ikawa ni ID yako, tumeshawazoea...
how old is she? kama vipi angusha mapicha bro tusafishe machoBy the way my sis amepata masters yake ya oncology Leo nadhani Ni jambo jema sana
![]()
siwez poteza muda wangu ndugu...hio nakuhakishia ndg![]()
Ungekuwa hutaki kupoteza muda ungeshinda humu ukitumia nguvu kutetea ujinga kana kwamba unalipwa?!...
Sikatai na wala sijawahi kuudharau mji wa Nairobi, ni mji mzuri lakini inatia shaka pale mnapotumia nguvu nyingi sana kuunadi...ukweli wa mambo ni kuwa kuna watanzania wanatambua ukweli tu ila kwa sababu ya vichwa vigumu vya watz wachache inawabidi wanyamaze tu...ndio maana ukaona uzi una views millioni ila wanaochangia ni wachache tu...wale wengine waliona ni upuuzi tu na wakabaki jukwaa la tz![]()
![]()
Sio viZur kutuma picha humu ila najua umeelewa hatua aliofikia ni nzuri sana esp ukandaa huu uliojaa wasomi wa artshow old is she? kama vipi angusha mapicha bro tusafishe macho

nampongeza sana she's 30'sKaka hiyo ni "my country whether right or wrong" ila kaka dsm haiifiki nai tuache ushabiki wa manzese. Najua umekaa Nai unafahamu
karibu sana mdau wa siku nyingi wa jf,bishop hiluka.Sikatai na wala sijawahi kuudharau mji wa Nairobi, ni mji mzuri lakini inatia shaka pale mnapotumia nguvu nyingi sana kuunadi...
kujiburudisha tu...inaitwa social media ndugu...![]()
![]()
Ungekuwa hutaki kupoteza muda ungeshinda humu ukitumia nguvu kutetea ujinga kana kwamba unalipwa?!...
Usilinganishe mavi na Nakuru plz