Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naliamsha dude. Moi Avenue Nairobi CBD. Nishidaaa. Lol jiji limegeuzwa Kibera lote. Sonko fala sana....
IMG_20171102_225116.jpg
 
meanwhile....
this is how diamond karanga is trending in kenya.

hawa ndio wale business minded kenyans,hawaangalii product imetoka nchi gani...maadam ina ubora na demand yake ni kubwa nchini kwao basi kazi huwa ni moja tu,kuchapa kazi ya kui-promote na kuhakikisha product hiyo inapata wateja wengi nchini kenya.

ooh my my i love these kenyans....hapa kazi tu...wale wakenya wenye wivu na chuki dhidi ya mafanikio ya diamond platnumz nendeni mkajirushe KICC.

b6ac2c44d7f72ecca31749ee9b43a6ce.jpg
36abe9fcd87d73f38ea3ff394f14393d.jpg
31fff1905fd31f81a9be83478d84b734.jpg
e38abac763776fa82dd1c7421eda94b0.jpg
7eeae9e851c6fbe1965d5b1f958a93fa.jpg
316950a9001dbe18b594604b8fc721f7.jpg
e2c4df62539facc3a9df34c46b120a5b.jpg
c00761a292fac85a1183f09db9be6bb9.jpg
ecaf0c5bd372f6648fe3a5705c04ff85.jpg
ce8c81aedca7c3c49426aef8b032c36f.jpg
9d85f570283db6a9fc6fe9be0145321e.jpg
bf8d335f836069b833304492d48df34b.jpg
b1a6cd096a02c16bc96bfa161e22c24d.jpg

machokaraa na majobless wa kikenya waliopo hapa jf wakiona hii watazidi kupatwa na hasira na kuendelea kutoa povu...wivu ni kitu kibaya sana.
 
Baada ya kuona kwenye utalii wamechapwa fimbo nyingi sana sasa wameamua kuharibu

IMG_0755.jpg
 
Hahaha Sasa anakuja Kichaa mmoja Jf
na Upuuzi wake !
Bila kujiuliza ni kwa box ngapi zinatumika kwa siku moja
Yeye kawekeza lipi la maana !!
 
Hahaha Sasa anakuja Kichaa mmoja Jf
na Upuuzi wake !
Bila kujiuliza ni kwa box ngapi zinatumika kwa siku moja
Yeye kawekeza lipi la maana !!
Hii ni ishara kwamba mambo mengi wanayoandika humu,hawayajui kwa uhakika.au wanadanganya makusudi hawa wakenya wa jf.
 
Hahaha Sasa anakuja Kichaa mmoja Jf
na Upuuzi wake !
Bila kujiuliza ni kwa box ngapi zinatumika kwa siku moja
Yeye kawekeza lipi la maana !!
kwa sasa wanachungulia tu kimya kimya kwa aibu na hasira wakikusanya povu la kutosha kuhusu diamond karanga.
 
Hii ni ishara kwamba mambo mengi wanayoandika humu,hawayajui kwa uhakika.au wanadanganya makusudi hawa wakenya wa jf.
mkenya wa jf akiandika jambo lolote la kuisifia kenya dhidi ya tanzania,usiliamini.

jiongeze kwanza kwa kwenda kufanya uchunguzi kwenye vyanzo vingine hasa hasa twitter.kule wamejazana wengi sana na wana-share matatizo yao mengi ya kijamii yanayowasibu nchi kwao.
 
meanwhile....
this is how diamond karanga is trending in kenya.

hawa ndio wale business minded kenyans,hawaangalii product imetoka nchi gani...maadam ina ubora na demand yake ni kubwa nchini kwao basi kazi huwa ni moja tu,kuchapa kazi ya kui-promote na kuhakikisha product hiyo inapata wateja wengi nchini kenya.

ooh my my i love these kenyans....hapa kazi tu...wale wakenya wenye wivu na chuki dhidi ya mafanikio ya diamond platnumz nendeni mkajirushe KICC.

b6ac2c44d7f72ecca31749ee9b43a6ce.jpg
36abe9fcd87d73f38ea3ff394f14393d.jpg
31fff1905fd31f81a9be83478d84b734.jpg
e38abac763776fa82dd1c7421eda94b0.jpg
7eeae9e851c6fbe1965d5b1f958a93fa.jpg
316950a9001dbe18b594604b8fc721f7.jpg
e2c4df62539facc3a9df34c46b120a5b.jpg
c00761a292fac85a1183f09db9be6bb9.jpg
ecaf0c5bd372f6648fe3a5705c04ff85.jpg
ce8c81aedca7c3c49426aef8b032c36f.jpg
9d85f570283db6a9fc6fe9be0145321e.jpg
bf8d335f836069b833304492d48df34b.jpg
b1a6cd096a02c16bc96bfa161e22c24d.jpg

machokaraa na majobless wa kikenya waliopo hapa jf wakiona hii watazidi kupatwa na hasira na kuendelea kutoa povu...wivu ni kitu kibaya sana.

lol...we know this desperate tactics of taking a photo of any useless thing. Diamond alipata watu watano na cameraman ndio apige rented people kama wameshika njugu yake.....pwahahaha. Mimi sijawahi ziona in any Kenyan shop honestly
 
Back
Top Bottom