COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Moshi aitawai fikia nusu ya eldy..Eld ile ilipigwa na Moshi kipigo cha mbwa mwizi. ..
Moshi aitawai fikia nusu ya eldy..Eld ile ilipigwa na Moshi kipigo cha mbwa mwizi. ..
ni kweli dar haifikii nairobi hilo halina ubishi na wala hakuna mtz anayebisha.
ila jambo moja muhimu ni kwamba with rapid changes that we have been witnessing within a short time,dar is catching up very fast,dar ipo katika progress nzuri ya kuifikia nairobi na hata kuipita.
hapo ndio kwenye mantiki ya mjadala huu. na katika mantiki hiyohiyo,ndio sababu unaona wakenya karibia wote wa jf wame-shift concentration yao yote kwenye thread hii kuliko thead yoyote hapa jf maana tayari dar ina-click katika bongo zao.dar inawapa hofu.
na katika mantiki hiyo hiyo, kumefanya thread hii kuwa moja kati ya thread bora inayofatiliwa sana na wasomaji kiasi cha kuwa na namba kubwa ya views kuzidi thread yoyote iliyowahi kuanzishwa katika jukwaa la kenyaforum.
![]()
kwa mantiki hiyo hiyo ndio kuna fanya thread hii iwe ina-trend kwa mwaka mzima tangu alipoanzishwa mwezi january 2017.Nina hakika ita-trend mwaka wote wa 2018.
haya yote ni kwasababu dar ni game changer...dar ndio imefanya hii thread ifike hapa ilipo...hata wewe mwenyewe una-comment hapa kwasababu in one way or the other, you are being influenced by dar...so usiidharau dar "msee"
Asante kwa kukubali ukweli unaodhihirika kwamba kwa sasa, Dar haifikii Nairobi. kongole sana hapo. Ingekuwa jambo la busara sana kama wabongo wenzako pia wangekubali huu ukweli, ingawa mcungu. Pili, nakupongeza pia kwa kuongea ungeli kwamba Dar inakuwa kwa kasi sana na kwamba it's one of the cities to watch here in Africa in matters development. Though nakukosoa unaposema kwamba Dar huenda ikafikia Nrb na hata kuipita kwa sababu nrb pia inazidi kuwa na mandeleo kila kuchao.ni kweli dar haifikii nairobi hilo halina ubishi na wala hakuna mtz anayebisha.
ila jambo moja muhimu ni kwamba with rapid changes that we have been witnessing within a short time,dar is catching up very fast,dar ipo katika progress nzuri ya kuifikia nairobi na hata kuipita.
hapo ndio kwenye mantiki ya mjadala huu. na katika mantiki hiyohiyo,ndio sababu unaona wakenya karibia wote wa jf wame-shift concentration yao yote kwenye thread hii kuliko thead yoyote hapa jf maana tayari dar ina-click katika bongo zao.dar inawapa hofu.
na katika mantiki hiyo hiyo, kumefanya thread hii kuwa moja kati ya thread bora inayofatiliwa sana na wasomaji kiasi cha kuwa na namba kubwa ya views kuzidi thread yoyote iliyowahi kuanzishwa katika jukwaa la kenyaforum.
![]()
kwa mantiki hiyo hiyo ndio kuna fanya thread hii iwe ina-trend kwa mwaka mzima tangu alipoanzishwa mwezi january 2017.Nina hakika ita-trend mwaka wote wa 2018.
haya yote ni kwasababu dar ni game changer...dar ndio imefanya hii thread ifike hapa ilipo...hata wewe mwenyewe una-comment hapa kwasababu in one way or the other, you are being influenced by dar...so usiidharau dar "msee"
Cheap similar dwarf buildings smh!Mombasa hii hapa...mlete picha za dar sasa tuiadhibu
![]()
Cheap similar dwarf buildings again!!!Mombasa
![]()
Usifananishe dar na maujinga ,Mombasa ukitoa marina na zile pembe za ndovu hamna cha ziada labda michicha mibaMombasa ziko.ligi moja 2 na dar
Ugly concrete building
Wacheni....wivu...wabongolala...imagine saizi iko 20 floor.. ......Alafu munadai.c.njui mwanza...Ugly concrete building
Lack of architect
Ni vile pic IJA kachiwa smart fala weweUgly concrete building
Lack of architect
Dar ukitoa tower mbili.. Ina kaa eldoretUsifananishe dar na maujinga ,Mombasa ukitoa marina na zile pembe za ndovu hamna cha ziada labda michicha miba
Kutukana ni dalili ya kukosa hojaNi vile pic IJA kachiwa smart fala wewe
Usirudie kufananisha dar na old ugly MombasaDar ukitoa tower mbili.. Ina kaa eldoret
Yani 20 floor and above unadai .ati so ki2 ...n2mie tz building out side dar slum above 17 floorKutukana ni dalili ya kukosa hoja
Hawa jamaa mjini kuna mapori ndio maana unakutana na estate mjini.. Sasa kweli sie tujenge estate posta wakati kiwanja kimoja redevelopment yake inachukua pesa ya kujenga estate Kenya?! Sijui wanafikiriajeWanakaa wakisema estatesestates ndio mji hawa jamaa ni narrow minded sana...waje waone places like mbweni,bunju, boko,kinyerezi, madale vitu watu wamefanya huo ujinga wa estates ndio unawapumbaza
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Yani 20 floor and above unadai .ati so ki2 ...n2mie tz building out side dar slum above 17 floor
Na nai c ligi yah dar lbda Msa kulingana facts....huwa msa na dar ziko in race.....lkn nai iko ligi ingineUsirudie kufananisha dar na old ugly Mombasa
Narudia tena usifananishe dar na ujinga wa Mombasa ,Mombasa level yake ni ZanzibarNa nai c ligi yah dar lbda Msa kulingana facts....huwa msa na dar ziko in race.....lkn nai iko ligi ingine
Kwenda uko atakiswahili hujui na Wewe mtz .....na bytha Niko msaHivi wewe kukurupuka utaacha lini umeelewa nilicho comment au?hebu lala uwahi kuamka ukawahi seat yako Uhuru park kesho asubuhi smh!