mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Uko hamna senator wala governor l......sijui ni.district Alafu munasema mko 2017.........Devolution huku kulikuwa nayo katika miaka ya 1970s, tulikua inajulikana kama Madaraka mikoani, ilisaidia sana kusambaza huduma mikoani, ila pesa nyingi ya serikali ilipotea sana, tukaachana nayo, hicho sio kitu kipya na wala msitegemee maajabu..Ganda la mua wa jana, chungu kaona mavuno.
Uhuru Kenyatta, governors to take home hefty gratuity
