game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,053
- 26,331
Kwani uongo? Mombasa ni mji wa Mashoga.Uko na shoga mwenzako huko
Kwani uongo? Mombasa ni mji wa Mashoga.Uko na shoga mwenzako huko
Watalii ndio wanaotegemewa zaidi na safarii hii mumeenda mswaki kwenye watalii na huu ni mwanzo tu ndio kama tumeanza😀😀😀😀😀Watalii pekee ndio unadhani wanatumia JKIA msee ??
Wanakaa wakisema estatesNiliwaambia ukubwa wa dar yani urban city wakusanye nairobi,mombasa kisumu bado haitoshi kufkia ukubwa wa dar na hilo halina ubishi wala ushindan


estates ndio mji hawa jamaa ni narrow minded sana...waje waone places like mbweni,bunju, boko,kinyerezi, madale vitu watu wamefanya huo ujinga wa estates ndio unawapumbazaNiliwafundisha tanzania kila mmoja ananyumba yake tena Wanajenga nyumba za ndoto zao sasa huyo akili zake bado ndogoWanakaa wakisema estatesestates ndio mji hawa jamaa ni narrow minded sana...waje waone places like mbweni,bunju, boko,kinyerezi, madale vitu watu wamefanya huo ujinga wa estates ndio unawapumbaza
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app


Mawazo yao ni bado ile tanzania ya 90s na fikra hzo zimewafanya wajione wao ni level na europe sasa leo wanapumuliwa kisogoni wanaanza kuomba maji ya kunywa 😀😀😀😀Nipate mkenya mmoja tuzunguke tu apa kijitonyama na sinza arudi kwao atakua na adabu sina haja ata ya kumpeleka mjini
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kenya ata watalii waliongezeka this year...but many people travel here for businessWatalii ndio wanaotegemewa zaidi na safarii hii mumeenda mswaki kwenye watalii na huu ni mwanzo tu ndio kama tumeanza😀😀😀😀😀
Unaweza compare hizo upuzi umesema na upper hill,westlands, hurlingham,kilimani etc you cantNipate mkenya mmoja tuzunguke tu apa kijitonyama na sinza arudi kwao atakua na adabu sina haja ata ya kumpeleka mjini
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Niliwaambia ukubwa wa dar yani urban city wakusanye nairobi,mombasa kisumu bado haitoshi kufkia ukubwa wa dar na hilo halina ubishi wala ushindan
Niliwaambia ukubwa wa dar yani urban city wakusanye nairobi,mombasa kisumu bado haitoshi kufkia ukubwa wa dar na hilo halina ubishi wala ushindan
Na huo ndio ujinga hutaacha basi kwa taarifa yako watalii ndio walioifanya hio airport kua bzy 3/4%Kenya ata watalii waliongezeka this year...but many people travel here for business
Ndoto za alinacha 😀😀😀😀😀![]()
Nairobi imetosha kufund three quarter of Tanzanian budget....as usual ukweli mtakana
Dar hii sio ile ya 90s😀😀😀😀😀Pwahahaha.....tuusan pliz.Just the same way you don't know the larger Nairobi metropolis which is never captured over here...........Dar bado sana I promise you that
i see diamond karanga becoming a very popular product in EA as it's being distributed into many places in kenya.I see SGA security from Kenya making it in Tz

Sasa wewe unataka kucompare masaki sijui Oystar na estates za kifahari nai ?Mm nilijua dar ni masaki oysterbay mikocheni mbezi beach tu kumbe ziko sehemu zimeundwa zkaundika na hautazisikia sana...Dar is really big places like bahari beach, mbweni to mention few ziko hot saana Hawa jamaa wanaongea sana kingereza wakdhan ndio wanajua kuongea
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Huyu kijana namkubali sana,acha pia yeye ajaribu bizi see diamond karanga becoming a very popular product in EA as it's being distributed into many places in kenya.
it's called tit for tat.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
haters will say this is not kenya.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dar kila mtu anajenga house of his/her dream hakuna mambo ya estate budaa ukiskia sehemu wanaita masaki au oyesterbay na upanga basi ujue ni nyumba za kifakhari hazina mfano wake kwa ukanda huu😀😀Sasa wewe unataka kucompare masaki sijui Oystar na estates za kifahari nai ?
kwanza jengeni lami kwa estates zenyu ni aibu
Naona azam energy, azam stoney,diamond nae yupo kweli tanzania ya viwanda inatimia sasai see diamond karanga becoming a very popular product in EA as it's being distributed into many places in kenya.
it's called tit for tat.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
haters will say this is not kenya.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()