Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani unanichekesha sana Guangzhou 3,843.43 sqr KM. Sasa unayesema una exposure unajua Guangzhou sasa inaifunika vibaya NYC?
Halafu ulivyo mfinyu wa mawazo Unataka kufananisha Nairobi na NYC!!? Dar inaelekea kuwa Guangzhou of TZ.
Shida yako uko obsessed sana na Nairobi Vs Dsm rivary. Ungetaka kutulia ukasoma post yako ya mwanzo ungeelewa nilichoandika. Wewe ulitaka kuaminisha watu kuwa Dar ni kubwa kuliko Nai kwa upande wa area na hivyo dsm ni zaidi ya nai. Mi nilitaka nikuoneshe pamoja na dar kuwa na eneo kubwa bado sehemu kubwa sana. Zaidi ya 70% ni unplanned areas au haziko developee kabisa.

Lakini pamoja na juhudi zako zote Nairobi bado ni more cosmopolitan kuliko dar na ipo miles away kuliko dar kama ni unaongelea maendelo. Comments nyingi hapa za kuitetea Dar haziwezi kubadili huo ukweli
 
Kinyungu
Newyork ni developed city ilo halihitaji kumueleza mtu,lakini nai inahitaji maelezo mengi san mtu akuelewe
Sawa labda hukuelewa kwa nn nilimpa mfano wa NYC. Pia kama Dar ni more developed kuliko Nairobi msingekuwa mnashindana kulinganisha Dar vs Nai. Ingekuwa Dar vs Joburg.

Kuendelea kushindanisha Nai vs Dar inaonesha kiwango gani mji mnaoupigania ni duni
 
zanzibar
zanzibar.jpg
DSC_0167.JPG
046.jpg
Zanzibar_Grand_Palace_Hotel_Page_04.jpg
36112285.jpg
 
Sawa labda hukuelewa kwa nn nilimpa mfano wa NYC. Pia kama Dar ni more developed kuliko Nairobi msingekuwa mnashindana kulinganisha Dar vs Nai. Ingekuwa Dar vs Joburg.

Kuendelea kushindanisha Nai vs Dar inaonesha kiwango gani mji mnaoupigania ni duni
Usibadili gear angani tafadhali
 
Sawa labda hukuelewa kwa nn nilimpa mfano wa NYC. Pia kama Dar ni more developed kuliko Nairobi msingekuwa mnashindana kulinganisha Dar vs Nai. Ingekuwa Dar vs Joburg.

Kuendelea kushindanisha Nai vs Dar inaonesha kiwango gani mji mnaoupigania ni duni
dalili ya povu hiii😀😀😀😀😀😀😀
 
mmesema hii ndio kahama town inayofananishwa na Nakuru.....hahaha
e3aa973fdd824840f6ee1de4ba6aeaea.jpg
1a1371115477dbf7812cbd013ba17478.jpg
b4deee377b00fb13abcc3e530aee2444.jpg
ee704b160f557a388dcc3fdd404108ad.jpg
e54fd6b1a5a37936fe471069a86c5ee0.jpg
2d9eb3de01fb1973987127963fc0cead.jpg
1bfe614318ca3ff04fbad7bf4dd7b2a6.jpg
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/df2b5ac69cb72e5bb1175c1
99e91c1bd.jpg

afadhali nyakemincha town
 
Mna majiji mangapi?Yale mnayoweza yaita majiji ,sisi yetu kama mbeya ni wingi wa watu na boda ya tunduma ile ndio ilifanya mji ukakua sana na biashara Za mazao, Lakini tukiieweka apa hua mnatoa mnatoa milio as if tumewashika tako

Tanga ofcz ni jiji lakini kuna changamoto kadhaa pia,iyo Nakuru ni kijiji tu muache ufala
Nakuru kubwa kwa Eldoret msee
 
Shida yako uko obsessed sana na Nairobi Vs Dsm rivary. Ungetaka kutulia ukasoma post yako ya mwanzo ungeelewa nilichoandika. Wewe ulitaka kuaminisha watu kuwa Dar ni kubwa kuliko Nai kwa upande wa area na hivyo dsm ni zaidi ya nai. Mi nilitaka nikuoneshe pamoja na dar kuwa na eneo kubwa bado sehemu kubwa sana. Zaidi ya 70% ni unplanned areas au haziko developee kabisa.

Lakini pamoja na juhudi zako zote Nairobi bado ni more cosmopolitan kuliko dar na ipo miles away kuliko dar kama ni unaongelea maendelo. Comments nyingi hapa za kuitetea Dar haziwezi kubadili huo ukweli
Yaani wewe unadhani kwamba sijakuelewa ulichoongea? Unafikiria kwanini nimeweka Guangzhou vs NYC?
Guangzhou, Hong Kong ni majiji modern lakini NYC ni old school.
Vivyo hivyo Nairobi ni Old school majengo yake ya kishamba a.k.a kizamani. Huwezi kulinganisha kwa mowonekano wa kuvutia na Dar.

Halafu Dar imesambaa na kila sehemu Development kubwa zinafanyika. Nairobi imejifinya na kusema ukweli kutengeneza miradi ya kisasa kama BRT kwa Nairobi ni vigumu sana. Sasa sijui mwenzangu unapoongea maana ya planning unaongelea nini. Maana Hapa Dar kunahifadhi ya barabara kubwa sana unaweza kufanya chochote. Na hiyo ndiyo maana ya planning.
 
hawa ndio watanzania walio na ardhi yao na utajiri wao..Pwahahaha..this pic though

Back
Top Bottom