much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,065
- 21,549
Nairobi ingenyesha mvua inayonyesha Dar maelfu wasingepona achana na Hawa teargas na Sadima kibera dwellers ambao GoK haijui kama Kuna binadamu wanaishi huko mpaka kipindi Cha uchaguzi
Hawa kenyans ni jokers 😂😂😂👇
View: https://www.instagram.com/reel/C6JQt9cNdTc/?igsh=Nng0OXMzbGpkdzR2. Wamechukua tractors kuokota maji barabarani
So unajifanya hile ya 337km/hr hujaona?😂😂 Na zile za 200km/hr pia hujaona?How can trains going up to 180kph be slower that the one which can clack 158kph max? Please explain in simple terms😁
Actually Kenyan SGR dashboard is better than Your SGR dull dashboard.Kenyans trains have white speedometer background and are also manual
They even denied the death of their president.Hawa tushawazoea, they deny everything. 🤣 🤣
Kutoka kulinganisha railway track, mpaka muonekano wa train, speed, sasahiv upo kwenye uzuri wa dashboard, 😂😂😂 wewe kweli ni village boyActually Kenyan SGR dashboard is better than Your SGR dull dashboard.
Halafu sahii wanakana hakufia Kenya na tulipowaambia amekufa walikana. 🤣 🤣They even denied the death of their president.
What do you expect from those who deny World Bank, Forbes, IMF and their own government data? Hao bora hiyo data is not favoring them over Kenya then that’s not the correct data.Halafu sahii wanakana hakufia Kenya na tulipowaambia amekufa walikana. 🤣 🤣
Safi sana Mwigulu.Tunataka utekelezwaji Kwa vitendo maana naona Bado kazi za bil.50 kushuka chini mnawapa Wachina kinyume na sheria ya local content.
View: https://www.instagram.com/p/C6Gyp4Uqnww/?igsh=MXc2bGxuY3Nlb3A1
We heb nanda ukachambe kwanza, unalazimisha vitu.? 😂😂😂Halafu sahii wanakana hakufia Kenya na tulipowaambia amekufa walikana. 🤣 🤣
Kwani wewe ni mgeni na vigezo vya WB inapofadhili miradi?Kwamba hili nalo linahitaji approval ya watu wa mataifa mengine .