Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I've already addressed these issues and told you, you make mountains out of mole hills ama hujui kusoma? Rosemary apologized and said she intended to say Olorgeseille which is a historical site in Kenya and confused it with Olduvai Gorge. Years and years you're still on it crying. That's why I say you're crybabies. Nimekupa hapo mifano ya mambo makubwa zaidi ambayo Tanzania imefanyia Kenya deliberately na hatuyaongelei badala ya kuaddress unaniattack eti una miaka ngapi, umesomea Nini. Nilidhani you were better of naona kama uko tu kama hizi ng'ombe zengine.
Kwamba Olduvai Gorge inakua confused in UN, kwa mtu ambae anaenda kuadress watu haandai hata research ya vitu anaenda tu kujiropokea?

Naona. Kama unajifanya msafi wakati mambo ni tofauti na yanakuumbua.
 
Because I feel elimu yako ina matatizo. Arguments zako unawekewa hoja alafu unatoa majibu rahisi, rahisi.

Wakati iko wazi kauli zenu zimeaffect sana Tanzania image on the rest of the World.

Kwanini umesema "ilikua innocent remarks ya waziri wenu wa utalii" why hukulink na impacts iliyosababishwa watalii kuishia huko kwenu na kuwekwa kwa van kuja bongo

Nimekuwekea mpaka link ya tours operators wenu kulalamika. Kama ni kuona wanyama si muna mbunga mnakuja kufanya nini Bongo?
Bro, the question we are addressing is how the coalition of the willing makes Kenyans bad people. You've gone round in circles until you've changed the argument to tourism. You said we have inferiority complex because of the coalition of the willing. I asked you how.....you haven't answered. You're still going in circles. I ask again, how does the coalition of the willing prove we have inferiority complex? You keep talking about education levels when you can't even address simple issues
 
Tanzania Buses.
Tilisho Safaris 🔥🔥
1129345832.jpg
-885347462.jpg
-1197138942.jpg
558386064.jpg
-977229620.jpg
 
Kwamba Olduvai Gorge inakua confused in UN, kwa mtu ambae anaenda kuadress watu haandai hata research ya vitu anaenda tu kujiropokea?

Naona. Kama unajifanya msafi wakati mambo ni tofauti na yanakuumbua.
She apologized. What do you want us to do? Should we kill her? Stop being stupid. Alafu why aren't you addressing the points I made about the things you've done and we are quiet about them?
 
She apologized. What do you want us to do? Should we kill her? Stop being stupid. Alafu why aren't you addressing the points I made about the things you've done and we are quiet about them?
Apologies after damage?

Okay these things we have done?

Nikumbushe
 
Apologies after damage?

Okay these things we have done?

Nikumbushe

Damage Gani exactly?😂😂😂

Anyway, point zangu hizi hapa. Nilipost badala ya kujibu ukapiga makona.

1. Nimekuuliza unipostie the exact thing that he said, maanake nawajua nyie ni watu wa kulialia. Wacha nikupe mifano.
Leo hii ndio nimejua mlikua na reli kutoka Arusha hadi Voi mkaingóa kisa hamtaki Port ya Mombasa ifaidike juu ya ukaribu wa Arusha na Mombasa. Wakenya tungewafanyia kitendo kama hiki hamngewai nyamazia. Hadi sai watoto wenu wa chekechea wangejua Wakenya wana roho mbaya kisa waling'oa reli ili msifaidike. Unaona tofauti?

Juzi juzi mkachoma vifaranga wa Kenya. Kisa hicho kishasahaulika huku Kenya ila ingekuwa Kenya imewafanyia hilo, hamngewai nyamaza. Hadi watoto wadogo mngewakaririsha.

Mkifungua hiyo Nyerere bridge yenu, Rais wenu alipiga Wakenya low jab eti ''Utasikia wengine wakisema daraja hili ni la kwao sababu wanapenda kusema vyote vizuri ni vya kwao". Hayo matamshi hata huku Kenya watu hawana habari yalisemwa. Mimi nayajua sababu mliyapost humu. Ingekuwa ni Kenya hata kama ni Diwani ameyatamka hayo, hamngewai nyamaza. Mngelitumia kueneza chuki dhidi ya Wakenya hadi mchoke.

Kuna lile la Judge wa Talent search hapo kwenu kudisqualify mtu kisa ameuimba wimbo kutoka Kenya. Kenya tungefanya kitendo kama hicho, mngetuandika kwa kitabu chenu cha chuki.

Hadi vitu visivyo vya chuki kama jina la ndege mnadiscuss hadi kwa parliament eti tunawaibia mlima.

That's why I tell you, your problem is inferiority complex. You blow things out of proportion, whine a lot and had a generally negative attitude towards Kenya. Nyie hamwezi saidika.
 
Back
Top Bottom