Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha usenge wewe.
Kilwa ilianza kukua mji kabla hata ya Lamu,je unalifahamu hilo?
Kuna maneno ya kiswahili yatumiayo misamiati halisi ya kimakonde na kindengereko je walifahamu hilo?

Fala wewe language is part of civilization.
Hivi unaelewa nini mtu akikutajia mswahili ama mzungu?
Embu nieleze.
Yani Kilwa ipate ustaarabu wa kiswahili halafu isiwe mmoja ya muanzilishi wa lugha ya kiswahili kama sehemu ya ustaarabu wa uswahili!?
Hivi unajisikia mzee!?
Huyo mbwa ni Domo tupu, haujui Chochote huyo, kiingreza mingi tu 😂😂 ananikumbusha wale rafiki zangu pale O level vile walikua wakinizidi kuongea kiingereza lakini kwenye masomo nilikua nawaachia vumbi tu 😂😂
 
Kiswahili rasmi tunachotumia sasahiv (standard Swahili) ni 60% Unguja dialect, 30% Arabic and 10% lahaja zingine.
Sijajua labda kwasababu ya mabadiliko ya utandawazi huleta na mabadiliko mpaka katika lugha.
Ila kwa ufuatiliaji wangu kibant kimeshamiri sana katika kiswahili kipindi kiswahili kinaanza kukua.
Kuna barua za kina Mtwa Mkwawa na kina Mtwa Fundikila wa Nyamwezi zilizoandikwa kwa kiswahili.
Ila hata kiunguja unadhani kimetokea wapi kaka?
Maana waunguja wengi wanyamwezi.
 
Acha upoyoyo.
Kibantu ni kipana we jamaa hata YORUBA NACHO NI KIBANTU.
Kibantu asili yake Nigeria sio hapo Lamu.
Na kila asili ya kibantu ina lugha yake ya kibantu.
Hata Nigeria wanaongea kibantu walichokipachika utambulisho wao.
I'm not going to argue linguistics with someone who thinks Yoruba is Bantu. Chamoto your country's education system is in fire need of change.🚮🚮🚮
 
I'm not going to argue linguistics with someone who thinks Yoruba is Bantu. Chamoto your country's education system is in fire need of change.🚮🚮🚮
Shida mnajifanya wajuaji.
Yoruba ni moja kati ya lugha kuu tatu inayoongewa sio tu Nigeria bali Afrika Magharibi,misingi mama ya sauti za nasibu ikitokea Nigeria,je Nigeria ni watu wa asili gani kama sio Ubantu!?
👆👆👆Nijibu hapo.
 
Sawa. 😂😂😂😂
 
Ndio, unawezaenda uarabuni ukaongea kiswahili na ueleweke.

Maneno kama habari na duka are all Arabic words. Habari (Khabar), karibu (qareeb), salama (salaam). I can give you so many examples
So, ukienda ulaya ukiongea kiswahili utaeleweka mana utaongea maneno kama keshi (cash) televisheni (television), muvi (movies), si ndiyo?

Wakenya hamna akili.
 
😂😂😂😂Acha upopoma.
Karibu ilokusudiwa katika kiswahili ni ya kumkaribisha mtu na qareeb ya kiarabu ni ile kuonesha umbali kwamba sehemu sio mbali.
Salaam ilokusudiwa katika kiarabu ni ya amani kichwa wewe.
Kiswahili pia kina misamiati ya kiiengereza kwahiyo kisa Kiswahili kimetohoa neno kama gauni(gawn) basi nikienda Uingereza nikiongea kiswahili nitaeleweka!?
Msingi wa sauti za nasibu za lugha husika ni upi!?
Kijana wa tandale, baadhi ya maneno kwenye lugha ya kiswahili (just like any other language) yako na zaidi ya maana moja. Karibu na salama ni baadhi tu ya mufano as you've outlined above.
 
Kijana wa tandale, baadhi ya maneno kwenye lugha ya kiswahili (just like any other language) yako na zaidi ya maana moja. Karibu na salama ni baadhi tu ya mufano as you've outlined above.
Aya kijana wa chokolet city.
Ila kiarabu kila kitu kina neno lake na ndio maana kiarabu imeingizwa miongoni mwa semitic languages.
Tena kitu kimoja chaweza kuwa na misamiati mitatu mpaka minne katika kiarabu.
 
So, ukienda ulaya ukiongea kiswahili utaeleweka mana utaongea maneno kama keshi (cash) televisheni (television), muvi (movies), si ndiyo?

Wakenya hamna akili.
That is called lending of words. Ndio maana in some places, television is called runinga wala sio televisheni. We all know the most acceptable swahili word for movie ni filamu wala sio hiyo muvi. These are lended words na hazina huhusiano wowote na chimbuko la lugha ya kiswahili
 
Back
Top Bottom