Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanini wakenya mnapenda Kufake life sana? Mbona mnajulikana tu maisha yenu ni ya hovyo, ni ninyi tu wenyewe kwenye vichwa vyenu mnqjijengeaga fallacy ambayo haipo, 😁😁 likiwa la hovyo mnasema Africa likiwa la heri ni la Kunyaland peke yake

View: https://twitter.com/Wamutogoh/status/1783166208612704663?t=cU5j5Y3wJImDlNPwXKet1Q&s=19

Fake life ni hapo Tanzania maanake picha kama hizi hata hamruhusiwi kushare online. Ndio maana 70% of Dar ni slum na mnasema hamna slum.
 
Today we are here to deconstruct Tanzanian lies😂😂.

Another train with a maximum speed of 158km/hr, Kenya has several trains with different speed limits.

ichoboy01 mambo vipi? Mbona huleti Tena hile cargo train ulikazana nayo?

View attachment 2973203
Gear imebadilika tena sio 335 tena kama hii uliopost 😂😂😂😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇
 
Gear imebadilika tena sio 335 tena kama hii uliopost 😂😂😂😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇
Tuko na trains mingi and all of them have different speeds. Najua hile speed ya 337km/h bado inakuuma 😂😂
 
Tuko na trains mingi and all of them have different speeds. Najua hile speed ya 337km/h bado inakuuma 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Trains nyingi zingine hubeba punda na kondoo au ?? Yani ww pekee umeonekana kituko humu ndani
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Trains nyingi zingine hubeba punda na kondoo au ?? Yani ww pekee umeonekana kituko humu ndani
Pole kwa hasira😂😂

Unaezachagua moja kati ya hizo speeds ujifurahishe nazo 😂😂

337km/h
200km/h
158km/h
 
Pole kwa hasira😂😂

Unaezachagua moja kati ya hizo speeds ujifurahishe nazo 😂😂

337km/h
200km/h
158km/h
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Alaf 470km inachukua 6 good hours

Mchina anaakili Sana ndio maana anawachapa mpaka viboko kondoo nyinyi
 
Back
Top Bottom