Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwache ajifurahishe kidogo kwasasa wamechanganyikiwa kabisa hawana Amani🤣
Ndio mimi huwashangaa.
Hivi reli yao ina capability ya kuhimili hiyo speed?
Na sijawahi ona DMU inayopitiliza speed ya 160kmph noooop.
Hakuna DMU ya namna hiyo mazeh.
Pia hata kama wangekua nayo kwanini Nairobi to Mombasa watumie masaa sita?
Wasisahau joka lina uwezo wa kutembea mpaka 200+kmph.
Tena wasubiri litestiwe.
 
Fake life ni hapo Tanzania maanake picha kama hizi hata hamruhusiwi kushare online. Ndio maana 70% of Dar ni slum na mnasema hamna slum.
Ndio maana serikali yenu haiwezi kufanya emergency operations zozote sababu ipo overwhelmed na mtanzania mmoja aliezuru, media houses zote zipo kwa TID slum dwellers wataokolewa na maombi

View: https://vm.tiktok.com/ZMMbD6AFB/
 
Watchman unateseka ukiwa wapi?😂😂

View: https://youtu.be/tYr_Rmn6Pqg?si=J888bW-wmWc23MZ9

Ukisikia hiyo video inalia kakakakaaakkaaakkaaaa
Ni sababu ya hii, railway ikiwa hivi hata 100kmh haifiki

images (6).jpeg
 
Ndio mimi huwashangaa.
Hivi reli yao ina capability ya kuhimili hiyo speed?
Na sijawahi ona DMU inayopitiliza speed ya 160kmph noooop.
Hakuna DMU ya namna hiyo mazeh.
Pia hata kama wangekua nayo kwanini Nairobi to Mombasa watumie masaa sita?
Wasisahau joka lina uwezo wa kutembea mpaka 200+kmph.
Tena wasubiri litestiwe.
Simple linguistic history ya Africa hujui alafu unataka kujifanya gwiji wa railways?
 
Simple linguistic history ya Africa hujui alafu unataka kujifanya gwiji wa railways?
Hukunijibu swali langu kule,nilikuuliza Afrika ina ethnicity ngapi??
👆Je ulinijibu hili?
Pia wacha niongeze swali,Yoruba wanaingia kwenye ethnicity ipi kati ya ethnicity za Afrika?

Kuhusu reli huko mzee nitakukimbiza,tokea babu wa babu yangu alikua mhandisi wa reli kipindi cha EAR(East Africa Railway) mpaka kuja babu yangu kuwa HR mpaka kuja babaangu nae pia ni mhandisi wa reli.
Ilibakia kidogo na mimi niingie relini maana nilishaanza kozi ila niliishia kati nikabadili faculty na kuingia kwenye afya.
Huko nitakutoa knock out.
 
Back
Top Bottom