Wanakuambia 722km in 3hrs, yani eti train yao inaenda 240kph na hapo hujatoa stoppage time. Ukitoa hiyo unapata zaidi ya 300kph - Yana wanasema train yao imetoshana speed na bullet train za Japan. 🤣 🤣 🤣 Nikisema masomo ya Tz ni duni mnasema nawaonea
buffalo44 .
Kinjekitile Saba naye anasema Dar to Moro ni 194km na Moro to Dom ni 422km. Meanwhile Goole maps zinasema hivi
View attachment 2972617View attachment 2972618
262+198 = 460. Ikumbukwe hii ni distance ya barabara. Barabara huwa na kona nyingi kuliko railway. Ukiiweka kwa railway hiyo distance haitofika 430km.
Chamoto
Geza Ulole
tuusan
Elimu yenu ni duni na inaonyesha. Vitu za kutumia akili kidogo zinasumbua watu.
Halafu inaonyesha wengi wenu hamtembei, mmekaa tu hapo Tandale maanake distances between major towns kama hizi kwa mtu anayetravel nchi yake anazijua kwa vidole.