buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Sasa kama hujui damage nitakueleweshaje unaweza amini unachoamini maana kubadili unachoamini si rahisi. Tutabishana hadi lini.Damage Gani exactly?😂😂😂
Anyway, point zangu hizi hapa. Nilipost badala ya kujibu ukapiga makona.
Kuhusu point zako kesho nitazirudia.