Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu mwaka ni mgumu sana kwa chokoraa wa mathare.

Screenshot_20240423-142142.png
 
Narudia, hicho kibantu ni Kingozi, Lugha kutoka Lamu, Kenya.
Acha upoyoyo.
Kibantu ni kipana we jamaa hata YORUBA NACHO NI KIBANTU.
Kibantu asili yake Nigeria sio hapo Lamu.
Na kila asili ya kibantu ina lugha yake ya kibantu.
Hata Nigeria wanaongea kibantu walichokipachika utambulisho wao.
 
The fact that hiyo lugha is not 100% African it isn't native to Africans as you imply. Asengekuja mwarabu wewe sasa hivi ungekuwa unaongea kinyamwezi kama lugha yako rasmi
Ningekua naongea kibantu ambacho sasa kinajulikana kiswahili.
Kibantu chetu kilishaanza kutambulika toka enzi za Mtwa Mkwawa ila kwa kukiboresha ndio tukatohoa maneno hadi ya kijerumani.
 
Yani 68% Kingozi - Lugha kutoka Lamu Kenya. Asante.
Matako wewe.
Kibantu sio kingozi peke yake.
Kibantu ni lugha yeyote inayotokana na asili ya ubantu.
Hata HAUSA ni kibantu cha asili ya Afrika Magharibi.
Kibantu kilichoikuza kiswahili ni cha Tanganyika.
Embu muulize mtu wa Lamu kama anajua Munyu ni nini!?
Au siku hizi Bantu asili yake Kenya sio Nigeria!?
Maana hamchelewi mlidai Olduvai iko Kenya sasa mnadai Bantu asili yake Lamu.
 
Ndio, unawezaenda uarabuni ukaongea kiswahili na ueleweke.

Maneno kama habari na duka are all Arabic words. Habari (Khabar), karibu (qareeb), salama (salaam). I can give you so many examples
😂😂😂😂Acha upopoma.
Karibu ilokusudiwa katika kiswahili ni ya kumkaribisha mtu na qareeb ya kiarabu ni ile kuonesha umbali kwamba sehemu sio mbali.
Salaam ilokusudiwa katika kiarabu ni ya amani kichwa wewe.
Kiswahili pia kina misamiati ya kiiengereza kwahiyo kisa Kiswahili kimetohoa neno kama gauni(gawn) basi nikienda Uingereza nikiongea kiswahili nitaeleweka!?
Msingi wa sauti za nasibu za lugha husika ni upi!?
 
Kilwa was a Swahili City State, not the origin of Swahili wee makende. Lamu was part of Zanzibar Sultanate, but Zanzibar was not the origin of Swahili. Swahili started in Lamu then spread to the rest of East African coast. Swahili City States such as Gedi, Kilwa, Zanzibar etc developed along the cost with Swahili culture. Zanzibar Sultanate was the last and the biggest of them all. That does not erase the fact that Swahili started in Lamu. Remember Lamu is older than Zanzibar and Swahili language is older than Lamu town.
Acha usenge wewe.
Kilwa ilianza kukua mji kabla hata ya Lamu,je unalifahamu hilo?
Kuna maneno ya kiswahili yatumiayo misamiati halisi ya kimakonde na kindengereko je walifahamu hilo?
 
You are confusing a civilisation and language. Swahili predates both Lamu town and Kilwa town. Swahili originated from the area that is now Lamu County in Kenya and spread all over the East African Coast. From the language, city states sprung up from which Kilwa was one of them. Kilwa was a bigger Swahili Civilization than Lamu but it is not the origin of the language.
Fala wewe language is part of civilization.
Hivi unaelewa nini mtu akikutajia mswahili ama mzungu?
Embu nieleze.
Yani Kilwa ipate ustaarabu wa kiswahili halafu isiwe mmoja ya muanzilishi wa lugha ya kiswahili kama sehemu ya ustaarabu wa uswahili!?
Hivi unajisikia mzee!?
 
Back
Top Bottom