Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona huyu nyangau anaongelea kuhusu infrastructure anafikiri hiyo train inapita kwa hewa. Aseme tuu kenya lacks infrastructure to operate electric trains wala asi generalise other Africans and make them at par with their underdeveloped rail infrastructure. Sisi tumeshatoka huko kwenye nginjanginja na hakuna developed country yoyote inayoweza kututambia kwenye electric trains na infrastructure zake.
Si walidai treni yetu ya kobe!?
Leo hii wanalalamika mwendo mkali!?
Kweli mchawi/hasidi hana sababu.
 
Hizo chassis zenye zinakuwa assembled Kenya ndio buses zote za Scania huko Tanzania zinatumia.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Acha Tu nicheke
 
Habari njema sana kwa Namibia.
As we speak Namibia ni Nchi iliyoendelea , watu wana maisha mazuri sana,
Sipati picha Hawa jamaa wakianza kuchimba wese. Hakika In Just 10 years watakuwa kama Norway.
Kwa ujumla nchi za SADC ziko vizuri. Ufukara unaanzia huko Kunya kupanda huko Ethiopia, Sudani ya Kusini na Huko Africa Magharibi. kuna nchi moja fukara waligundua mafuta mapipa elfu 50 wakawa wanatupigia kelele humu hatulali, wakaanza kusafirisha na lori la isuzu. Sijui waliishia wapi .

NB: Ni muhimu sana Tanzania kuwekeza nguvu na Jubudi zaidi Huku SADC.

977DA074-3D3E-4A1D-9B46-AEE3F4C5E869.jpeg
 
Hizi ni vitu mechanics wa Grogon wanafanya. Sasa kufanyia tu gari upgrade ndio unafanya ubahave like a goat hivo?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Narudia siku Kenya ikifika level hii unitag nifunge ACC mara moja
 
Huyo kilaza hajui chochote. Yeye bora amezaliwa akapata Lugha ya kiswahili kipo na anaweza izungumza.

Anafaa ajiulize ni kwa nini Kuna baadhi ya maneno ya kiarabu na kiswahili yanaendana both in pronounciation and meaning
Kwamba ukienda uarabuni unawezaongea kiswahili ukaeleweka?
Jinga sana,
Sifa mojawapo ya Lugha yotote duniani ni Kuwa Lugha hutohoa maneno toka Lugha nyingine. Kiswahili kimetohoa baadhi ya maneno toka kwenye Lugha nyingine zikiwemo Kingereza, Kijerumani nk. Hata hivyo predominately Kiswahili ni Lugha ya Kibantu,
Ni kawaida. Ndio maana unaona Lugha kama Kiitaliano ina maneno mengi sana ya Kingereza. Nothing wrong .
 
Swahili comes from Arabic word sawahili Which is plural for "people of the coast"
Hilo neno tumelitohoa sisi ili tupate jina kamili ya lugha ambayo ina asilimia kubwa ya misamiati ya kibantu na asilimia kadhaa ya misamiati iliyotoholewa katika lugha zingine za kigeni.
Maana tungesema iitwe kibantu isingeleta maana kwasababu vibantu vipo aina nyingi.
 
Hilo neno tumelitohoa sisi ili tupate jina kamili ya lugha ambayo ina asilimia kubwa ya misamiati ya kibantu na asilimia kadhaa ya misamiati iliyotoholewa katika lugha zingine za kigeni.
Maana tungesema iitwe kibantu isingeleta maana kwasababu vibantu vipo aina nyingi.
The fact that hiyo lugha is not 100% African it isn't native to Africans as you imply. Asengekuja mwarabu wewe sasa hivi ungekuwa unaongea kinyamwezi kama lugha yako rasmi
 
Back
Top Bottom