game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
Hapana mkuu, Mbona Gabon na Angola wanachimba na wanauza wese peacefullyWaarabu watatengeneza wanamgambo kudistabu production
Hapana mkuu, Mbona Gabon na Angola wanachimba na wanauza wese peacefullyWaarabu watatengeneza wanamgambo kudistabu production
Tatizo lako hunaga akili, umeulizwa kama kiswahili kimetokea uarabuni, je muarabu ataelewa nikiongea kiswahili? Unaanza kutingisha maziwa yako kifuani Bibi Titi.Swahili is Arabic.
Aisee!Noway bro ngumu Sana kumuepuka mchina na nimeskia anaanza kua assemble bus zake youtong hapa hapa dar kigamboni tayar wameshajenga kiwanda
Yah miaka miwili ijayo usishangae unabebwa na gari ya ghorofa kutoka Dar kwenda Moro, tunaenda kasi sanaaa.Mkuu,mm ni mnazi,yaani siwezi acha kupanda mchina wakati "irizar" ipo never!! Nachoona,wakurugenzi wanaenda kuachana na mchina soon.
Kweli kabisa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿Yah miaka miwili ijayo usishangae unabebwa na gari ya ghorofa kutoka Dar kwenda Moro, tunaenda kasi sanaaa.
SASA hawa na nyumbu wanatofaut gani😅😅meanwhile, Kenya premier league. Hatari. View attachment 2971864
Wazilete hizo huku Kenya tutazipokea 😁