Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Hakuna lugha inaitwa kibantu. Bantu is an ethnolinguistic grouping of about 400 African ethnic group. In Kenya and Tanzania they are the mojority. Sio lugha haswa!Ningekua naongea kibantu ambacho sasa kinajulikana kiswahili.
Kibantu chetu kilishaanza kutambulika toka enzi za Mtwa Mkwawa ila kwa kukiboresha ndio tukatohoa maneno hadi ya kijerumani.